Rished Bade kumsaidia Kitillya TRA

 
 

Ninavyosikia mimi Bashir Awale sio mtanzania sema amekaa sana hapa bongo hadi ameshazoea, pengine amesha process uraia sina hakika.
 

Bankers wengi wapo hivyo bro especially siku hizi kwenye zama za ushindani.
 
Rished Bade Ni Mtabe..aliacha historia pale Faculty of Commerce and Management kwa sasa University of Dar Es Salaam Business School (UDBS). Kiufupi ni mtu makini na mchapakazi sana nadhani hapa JK amepata Jembe Tena Jembe La Ukweli...Let Us Give The Young Man Opportunity to show his capabilities....the end should always justify the means.
 

Ehee. Ulaghai wa Riba unauhusiano gani na vile viosk vya bacrays mkuu? Haujui kama viosk kumi hapa Dar vinafungwa au hata vimeishafungwa? Kuwa Great Thinker hakuishii kwenye upatikanaji wa fact tu bali kuzichanganua facts husika. Hauwezi kutenganisha poor performance ya viosk na Rished. kama unaweza naomba unisaidie.
 

It is unfortunate kwamba mapungufu yote uliyoyataja hapa ni business of the CEO.
 
mkuu hapo kwenye red kuwa makini kidogo. Hayo mambo ya 'Machiavellian' ndiyo watu wanaongea hapa jukwaani kuwa yameshishindwa kufanya kazi kwa mbongo, kubali au kataa. Madr kibao wameambulia kufanya mambo ambayo hata std VII hawezi kuyafanya. Na ndio maana wanasema kuwa profile ya mtu, CV nk vyote output yake inategemea intention ya mteuaji, hence no wonder the end will 'unjustify' the mean!!. Na ndio maana wenye nia njema wanauliza "ni kwa nini hizi nafasi zisiwekwe wazi na vigezo vyake ile wanaoona wanafaa wazishindanie?"

 

umewasoma vizuri wenzio huko juu? Umeona dots za bade, idrissa na kimei relative to epa, richmond na dowans? Tafakari tena
 
Sasa mkuu mbona unachekesha, wameanzia kwenye career, sasa unategemea waseme na vidudu, madrasa pia. CV si ina sehemu kuu 3/4 na career ni sehemu mojawapo tu ambayo mwandishi kaamua kuitumia.

Details are important for the vetting process. Kumbuka hii ni kazi nyeti ambayo tunahitaji kujua undani wa mtu mpaka alikosoma chekechea. Kama ni Mtanzania wa cheti au wa kuzaliwa, n.k
 

Huyu jamaa tulipiga naye buku pale Mazengo Dom enzi hizo, kwenye economics alikuwa nouma. Ila alikuwa anapiga fegi enzi zile sijui kaacha?

HONGERA SANA, ninamtakia kazi njema-Tusitumie lugha chafu za kifisadi eti "kaula" HAPANA achape mzigo kwa ajili ya Taifa!
 
Mtake radhi Walid Juma. Ninavyofahamu mimi Walid ni mwanaume sasa huyo mama unayemkubali wewe ni yupi?

niwie Radhi ndugu yangu ni makosa nilifana:Naomba samahani kwake kwa familia yake pamoja na wanajamvi Humu ndani kufanya makosa ya kiandishi natambua umuhimu wake katika ujenzi wa taifa letu.
 
niwie Radhi ndugu yangu ni makosa nilifana:Naomba samahani kwake kwa familia yake pamoja na wanajamvi Humu ndani kufanya makosa ya kiandishi natambua umuhimu wake katika ujenzi wa taifa letu.

Nina imani Ndugu Walid Juma amekusikia kama anatembelea humu JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…