Pasta Joshua
Member
- Aug 2, 2020
- 24
- 142
Somehow sounds trueNinachoamini: Hakuna mwanaume anayeua mke kwa ishu za mali. Shika kanuni hii Ukisikia mwanamke kaua mume inaweza kuwa ni Kwa ajili ya Mali. Ukisikia mwanaume kaua mke, jua ni kusaliti. Usaliti ndo kitu rahisi sana kumfanya mwanaume ainue silaha yoyote na kuua.
Angalizo: Siungi mkono uamuzi wa Kweka, ila naeleza hisia zangu kwa uzoefu wangu wa kusikia matukio ya namna hii. Muda utaongea. Sitashangaa kama upelelezi wa polisi utaibuka na kona hii niiwazayo.
Poleni ndugu ,jamaa na marafiki.Ninachoamini: Hakuna mwanaume anayeua mke kwa ishu za mali. Shika kanuni hii Ukisikia mwanamke kaua mume inaweza kuwa ni Kwa ajili ya Mali. Ukisikia mwanaume kaua mke, jua ni kusaliti. Usaliti ndo kitu rahisi sana kumfanya mwanaume ainue silaha yoyote na kuua.
Angalizo: Siungi mkono uamuzi wa Kweka, ila naeleza hisia zangu kwa uzoefu wangu wa kusikia matukio ya namna hii. Muda utaongea. Sitashangaa kama upelelezi wa polisi utaibuka na kona hii niiwazayo.
Find X ?
Inasikitisha sana.Find X ?
uzi ufungwe, naunga mkonoWatanzania reasoning yetu kama ngedere.
Mtanzania: "Serikali haiwezi kuua vijana wadogo hivi kisa kuandamana,kuchoma mwendokasi can't justify killings"
Also Mtanzania: "Hakuna mjinga wa kumpiga Risasi ya kichwa mke wake bila sababu,hapo kutakua na sababu tu,kama sio cheating basi mali,me nakwambia chunguzeni"
I was also wondering viranja wa kupinga picha za faragha za watu kusambazwa online ndio watu wanafurahia video ya Prime minister..
My country pipoz..
hakikaKweka yupo sahihi
Wala usifungwe tuzidi kujifunza wenzetu wanavyofikiria..uzi ufungwe, naunga mkono
Usaliti haukupi mamlaka ya kutoa uhai wa mtu kwa namna yoyote ile. Alichofanya ni upumbavu wa kushindwa kudhibiti hasira zake. Majuto ni mjukuu , anaenda kunyongwa jela au kukaa jela mpaka mwisho wa uhai wake huku mali walizokuwa wakizigombania wakiacha zikienda kutafunwa na ndugu. Huenda hats mtoto wao mdogo asiweze kufurahi urithi wake.Ninachoamini: Hakuna mwanaume anayeua mke kwa ishu za mali. Shika kanuni hii Ukisikia mwanamke kaua mume inaweza kuwa ni Kwa ajili ya Mali. Ukisikia mwanaume kaua mke, jua ni kusaliti. Usaliti ndo kitu rahisi sana kumfanya mwanaume ainue silaha yoyote na kuua.
Angalizo: Siungi mkono uamuzi wa Kweka, ila naeleza hisia zangu kwa uzoefu wangu wa kusikia matukio ya namna hii. Muda utaongea. Sitashangaa kama upelelezi wa polisi utaibuka na kona hii niiwazayo.
wito rasmi kwa serikali, huko kwenye kanisa watachelewa sanaNi vyema viongozi wa dini ya kikristo wawaambie waumini wao kuwa talaka inaruhusiwa kwao endapo wanandoa wataona wameshindwa kusuluhisha migogoro yao.
Hizi habari za mpaka kifo kitakapo watenganisha ndio huleta mauti.
ukiona ndoa ina migogoro sana jua kuwa hakuna mahusiano mazuri ya tendo la ndoa kwa wana ndoa.Niliwahi kusikia kuwa mwanamke fanya makosa yote lakini siyo kumnyima mwanaume cha asubuhi, akili zikimruka anafanya chochote
Ni vyema viongozi wa dini ya kikristo wawaambie waumini wao kuwa talaka inaruhusiwa kwao endapo wanandoa wataona wameshindwa kusuluhisha migogoro yao.
Hizi habari za mpaka kifo kitakapo watenganisha ndio huleta mauti