wanajielwa mzeeHao nao siasa utadhani ugali.
Wanayataka lol
kwani hii forum sio chombo cha habar?Huuu ni uzushi kweli hakuna chombo chochote kilichoripoti acheni kutabiria mabaya nyie kama hamna cha kuandika kwani lazima kuandika
Tanganyika inaitawala Zanzibar kwa mkono wa chuma.[/QUOTEMkono wa chuma chenyewe ni wa steel iron.
Hata asingekwenda na majina yake mfukoni bwana fulani asingeteuliwa kugombea kwa kuwa hafai kuwa Rais. Itabaki hivyo milele!!Kikwete ndio ametuponza kwa kwenda na majina yake matano kwenye mfuko wa shati. Sasa acha tunyooke, hata kama Damu haitamwagika Leo huko Pemba ni suala la lini itamwagika hapa Tanzania