Risasi na mabomu yarindima Kangagani usiku huu

Huuu ni uzushi kweli hakuna chombo chochote kilichoripoti acheni kutabiria mabaya nyie kama hamna cha kuandika kwani lazima kuandika
 
[HASHTAG]#justiceforLema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#TunamtakaBenakiwahai[/HASHTAG]
[HASHTAG]#FreeMaxeceMelo[/HASHTAG]
 
Wataka jina lashein litajwe msikitini kama nani? yeye ndio allah?
Kama wananchi hataki wasibughuziwe yaheee
 
Comments kutoka Mzalendo.net
Piga nikupige 16/12/2016 kwa 8:32 um · Log in to Reply
Wanapigwa na Mkangagani mwenzao anaitwa Rashidi Hadidi ni mkuu wa
wilaya wa DK. Shein, wa wilaya ya ya Wete. Huyu bwana ndio fitna mkubwa,
iko haja ya Wana Kangagani kumkabidhi Mwenyezi Mungu huyu Mshenzi.
salali 16/12/2016 kwa 11:32 um · Log in to Reply
Wasichanganye dini na siasa kama Maalim rais wetu hawataki ahutubiye hata
akialikwa mskitini iweje Shein atwaje mskitini kwani yeye nani hapo Zanzibar,
sisi wa Zanzibar tunamuona yeye ni haini tu, anaringiya vifaru,kachokonza
mzinga ngoja sasa tumuonyeshe makali ya nyuki.
mohamed 17/12/2016 kwa 12:25 mu · Log in to Reply
Watu wengine hasa mafala,kwani sheni kafa hata atajwe au kuombewa dua?
Bado hajafa mwache ajiombee mwenyewe dua na kama haitoshi ccm
wanamashekhe wengi tu,si wamtaje tu
Ghalib 17/12/2016 kwa 12:41 mu · Log in to Reply
Umesahau na ma padri, mashekh wetu wako rumande, ccm
hawana mashekh ispokuwa waganga njaa, kwa dhulma wanazo
fanya kama mtu shekh kweli lazima akae nao mbali
Ghalib 17/12/2016 kwa 12:42 mu · Log in to Reply
Poleni wananchi wa kangagani, kujiokowa muhimu, self defence.
 
AS RECEIVED:

*Taarifa za chanzo cha Kangagani*

Nikua kuna mzozo wa msikiti.
CCM wanaoswali ktk msikiti huo hawazidi 15 watu walifika mahala wakasema dr shein siku ya ijumaa humu asitajwe

Hiyo ikaleta mzozo pande zote mbili wakaitwa kwa kadhi ili wakapatiwe sulhu kila upande walitakiwa watu watano ,wakasikilizwa kwa kina na baada ya hapo wakatakiwa kupiga kura walosema atajwe kura 2 na kura nane asitajwe.

Wakatiliana sain na nakala kupelekewa mkuu wa mkoa na wilaya pamoja na jeshi la polisi.

Lakin CCM kama kawaida yao ya kutoheshimu makubaliano kwa kushirikiana na jeshi la polisi waliamua kuyasaliti.

Wakawaita waakilishi wa pande zote mbili na kuwaomba kua waruhusu atajwe kwa wiki mbili huku wao Polisi wakiendelea kusaka suluhu.

Wakakubali lakini kinyume chake hii ni wiki ya nne wanamtaja wala hakuna sulhu yoyote zaidi ya vitisho sasa leo tokea asubuhi wamehamia huko kwa wingi na kuwakamata vijana wawili kwa kisingizio cha kuchoma busati la msikiti wakati funguo za msikiti ziko mikononi mwa hao wana CCM watu walipohoji wametishwa sasa hicho kinachoendelea usiku huu ni mkakati wa siku nyingi. Hivyo tusishangae bali tuwaombee.
 
Kikwete ndio ametuponza kwa kwenda na majina yake matano kwenye mfuko wa shati. Sasa acha tunyooke, hata kama Damu haitamwagika Leo huko Pemba ni suala la lini itamwagika hapa Tanzania
Hata asingekwenda na majina yake mfukoni bwana fulani asingeteuliwa kugombea kwa kuwa hafai kuwa Rais. Itabaki hivyo milele!!
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom