Risasi na mabomu yarindima Kangagani usiku huu

GHIBUU

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
4,290
2,000
Kuna taarifa za kuaminika kuwa milio ya risasi na mabomu imekuwa ikisikika huko Kangagani Pemba. Hali hii imewafanya wakaazi wa Kangagani usiku huu kuyakimbia majumba yao na kukimbilia misituni kupata manusura.

Chanzo cha hali hii ni wananchi kukataa kutajwa jina la Dr Shein kwenye khutba ya Ijumaa.

Tokea mchana wakati wa swala ya Ijumaa hali imekuwa tete kwa wakati wa Kangagani ambapo waliswali Ijumaa chini ya ulinzi mkali wa jeshi la Polisi huku mkuu wa mkoa wa kaskazini na mkuu ya wete wote wakihudhuria.

Wiki iliyopita vijana 7 wamekamatwa na polisi hadi leo hii bado wako mahabusu.

Bado haijajulikanwa ni watu wangapi wameumia kwenye mashambulizi haya, lakini inasemekana majeruhi ni wengi. Pia haijulikani hadi sasa ni watu wangapi wamekamatwa.
 
Ulukolokwitanga

JF-Expert Member
Sep 18, 2010
8,404
2,000
Dah asee kikwete kumbe ulitutunzia demokrasia yetu na Amani Bila sisi kujua.. MUNGU akubariki poleni wapemba kuishi kama wakimbizi kwenye nchi yenu
Kikwete ndio ametuponza kwa kwenda na majina yake matano kwenye mfuko wa shati. Sasa acha tunyooke, hata kama Damu haitamwagika Leo huko Pemba ni suala la lini itamwagika hapa Tanzania
 
spencer

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
3,487
2,000
Kuna taarifa za kuaminika kuwa milio ya risasi na mabomu imekuwa ikisikika huko Kangagani Pemba. Hali hii imewafanya wakaazi wa Kangagani usiku huu kuyakimbia majumba yao na kukimbilia misituni kupata manusura.

Chanzo cha hali hii ni wananchi kukataa kutajwa jina la Dr Shein kwenye khutba ya Ijumaa.

Tokea mchana wakati wa swala ya Ijumaa hali imekuwa tete kwa wakati wa Kangagani ambapo waliswali Ijumaa chini ya ulinzi mkali wa jeshi la Polisi huku mkuu wa mkoa wa kaskazini na mkuu ya wete wote wakihudhuria.

Wiki iliyopita vijana 7 wamekamatwa na polisi hadi leo hii bado wako mahabusu.

Bado haijajulikanwa ni watu wangapi wameumia kwenye mashambulizi haya, lakini inasemekana majeruhi ni wengi. Pia haijulikani hadi sasa ni watu wangapi wamekamatwa.
Hao nao siasa utadhani ugali.
Wanayataka lol
 
dendaboy

JF-Expert Member
Sep 15, 2016
889
1,000
sasa kwa atajwe misikitini yeye ndio mungu? huko kwenye majukwaa anakotajwa bado haridhiki

halafu hawa sharifu si aliwafungulia kesi kule mbele mbele bado hawajaja kukamatwa?
 
Consigliere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
11,303
2,000
Hata kama ni ww ungeifanya kama ugali kwakuwa hali iliyokuwa kule huijui ndio unaongea kama uliyekunywa maji ya chooni
Wapemba wa diku hizi, kila mmoja anayaka kiwa 'The first to reply' na kila mmoja anataka alipige picha tukio ili atupie mtandaoni. Hizi smart phones na bundle za bure Ndiyo chanzo cha wapemba wa siku kuwa walegevu na kuchezewa hadi kwenye ngome zao.
Ingekua wapemba wale wapemba wa kipindi kile Sasa patashika zote hizo zingekua zinapigwa Unguja, ila kwa ulegevu wao hadi Sasa wanachezewa 'nusu uwanja'.
 
Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
27,356
2,000
Kuna taarifa za kuaminika kuwa milio ya risasi na mabomu imekuwa ikisikika huko Kangagani Pemba. Hali hii imewafanya wakaazi wa Kangagani usiku huu kuyakimbia majumba yao na kukimbilia misituni kupata manusura.

Chanzo cha hali hii ni wananchi kukataa kutajwa jina la Dr Shein kwenye khutba ya Ijumaa.

Tokea mchana wakati wa swala ya Ijumaa hali imekuwa tete kwa wakati wa Kangagani ambapo waliswali Ijumaa chini ya ulinzi mkali wa jeshi la Polisi huku mkuu wa mkoa wa kaskazini na mkuu ya wete wote wakihudhuria.

Wiki iliyopita vijana 7 wamekamatwa na polisi hadi leo hii bado wako mahabusu.

Bado haijajulikanwa ni watu wangapi wameumia kwenye mashambulizi haya, lakini inasemekana majeruhi ni wengi. Pia haijulikani hadi sasa ni watu wangapi wamekamatwa.
Sababu ni
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom