Ripoti ya Richmond Bungeni (FULL TEXT) na yatokanayo

Balaaaa hili!
Ngoja tumkodie "jet strem" mtajibeba!!!!

Balaliiiiiiiiii.
 
Aende mahakamani akafanye nini ilhali alishamtundika akiwa Bungeni? Au hujui kuwa Bunge ni mhimili mmoja kati ya ile mitatu ya dola? Kwikwikwikwikwikwiiiiiiii! Yaani tangu umekuwa BAVICHA hakika unachekesha sana. Huna hata chembe ya ufahamu

Bunge ni kweli an independent organ lakini unafahamu majukumu yake ?? Kama unashindwa kutofautisha majukumu ya bunge na mahakam then u have the big problem. Usipole majukumu ya judiciary!!
 
Naamini pia Chadema, na pengine Ukawa kwa ujumla imejipanga kujibu mapigo kutoka upande wa CCM. Nawaamini sana wapinzani kwa uwezo wao mkubwa wa kufanya kampeni, so tusubiri tusikie pia kutoka kwao. Kuna wakati nakuwa na mashaka kuwa CCM hawatakuwa na ubavu wa kusema saana kuhusu Richmond kwa kuwa wanajua wakilianzisha tu, Lowasa anaweza kusema hata yale aliyokuwa nayo moyoni siku zote, na huenda hili likafanya mambo mengi zaidi yajulikane kwa watanzania na dunia kuliko ilivyokuwa awali.

Lakini pia upinzani una nafasi kubwa zaidi ya kuaminika kwa watakayoyasema kuliko hata CCM kwa sababu CCM watatakiwa pia kujibu ni kwa nini hawajamfikisha mahakamani mtu aliyelitia taifa hasara kubwa kama hiyo? Kwa nini siku zote hawakuyasema hayo mpaka waliposubiri ahamie upinzani? Na ni kwa nini hata baada ya Lowasa kujiuzulu bado taifa limeendelea kukubwa na kashfa nyingine kubwa za ufisadi (mfano EPA, ESCROW nk)? Kwa hiyo mwisho wa siku, hata kama watakayoyasema yatakuwa ni ya kweli, bado watanzania watajua kuna uzembe mkubwa unafanywa na serikali iliyoko madarakani katika kusimamia rasilimali za nchi na pia ni serikali inayowafuga wezi, na hivyo hata ikichaguliwa tena itaendelea kufanya hivyo hivyo siku zote.

Hebu tusubiri kipenga kipulizwe.
 
Aende mahakamani akafanye nini ilhali alishamtundika akiwa Bungeni? Au hujui kuwa Bunge ni mhimili mmoja kati ya ile mitatu ya dola? Kwikwikwikwikwikwiiiiiiii! Yaani tangu umekuwa BAVICHA hakika unachekesha sana. Huna hata chembe ya ufahamu
Ndio maana nikakwambia hizi ni porojo tu za kisiasa.
Kumuita mtu fisadi miaka nenda rudi bila kumchukulia hatua sio sahihi. Umesikia kaka? Halafu hii tabia ya dume zima kama wewe kujifanya mwanamke sio sawa.
 
1. Mh. Edward Lowassa aliyekuwa waziri Mkuu wa Tanzania na aliyejiuzulu katika kadhia hiyo?

2. Mh. Samwel Sitta aliyekuwa Spika wa Bunge la Tisa lililopokea na kujadili Ripoti ya kashfa hiyo ya Richmond?

3. Dr. Harrison Mwakyembe aliyekuwa Mwenyekiti wa kamati Maalum ya Bunge ya Kuchunguza kashfa hiyo ya Richmond na kuwasilisha Ripoti Bungeni kwa majadiliano na maazimio ya Bunge?

4. Dr. Wilbroad Slaa aliyekuwa Mbunge wa Bunge la tisa lililopokea na kujadili Ripoti ya Kamati ya Dr. Mwakyembe na kutoa maazimio?

LAKINI, kama kungekuwa na msemakweli kati ya hao, kwanini asingeusema ukweli huo juu ya kashfa hiyop iliyoathiri nchi na wananchi wake kwa kiasi kikubwa mwaka huo wa majadiliano 2008? Kwanini aseme na kuaminika sasa?
 
Sitta na Mwakyembe wanafiki wakubwa

ingawa naamini Lowassa alihusika...lakini Sitta na Mwakyembe hawana moral authority
ya kumnyooshea mtu kidole
wao walikuwa na nguvu yote ya kuongoza au kulazimisha mchakato wa kimahakama
kuwashitaki woote waliohusika na tusingekuwa tunajadili tena leo..mahakama ingesema...

hawakufanya yote hayo na sasa wanaligeuza suala la Richmond la kisiasa
masuala ya kimahakama yawe ya kimahakama
 
sita na mwakyembe ni wachumia tumbo na wafungwa watarajiwa
 
Ujue ukweli upo, hapo ktk watu wote ni mmoja tu ndio amemtaja muhusika wa tofauti na wengine, lakini wengine wamemnyooshea kidole yeye. ..sasa huyu aliye thubutu kumtaja muhusika aliye na kinga ndie mkweli, mana hao wengine wanamtaja asiye na kinga lakini hawamshtaki tangu 2008 na tupo nae hapahapa Tz. Mimi naamini kama huyu El ishu ingekuwa yake mojakwamoja hata yule mchungaji mwanasiasa na bigwa wa kufungua kesi angekwisha tekeleza hili. .lakini hapa kuna kitu wanakijua lakini wamejaa hofu yawezekana kwakujua muhusika anamamlaka makubwa mno. Ndio mana tunataka katiba ya wananchi
 
Hapa anayeaminika sasa ni Lowasa peke yake ambaye amesema maswala mawili mazito ambayo si hawa madalali hapo juu, si serikali, kiongozi yoyote amediriki kutoka hadharani na kumhoji au kumjibu Slaa au kutolea maelezo ya tuhuma alizozisema Lowasa.

1. Mradi wa Richmond ni wa Kikwete. Wenye akili wanaunganisha na taarifa aliyoisema Mwakyembe kwamba mengine wameamua kuyaficha kwa usalama wa nchi, naye huyu anaungana na Pinda aliyesema mafisdi ni watu wenye nguvu sana wakiguswa nchi itatikisika. Kwa maelezo haya, kwa nini TUNALAZIMISHWA KUTOKUMWANINI LOWASA ALIYESEMA HADHARANI KWAMBA RICHMOND NI YA KIKWETE NA HAKUNA KIKWETE, MWAKYEMBE, SITA WALA NANI AMEJITOKEZA HADHARANI KUKANUSHA AU HATA KUMCHUKULIA HATUA ZA KISHERIA LOWASA KWA KUSEMA UWONGO JUU YA MKUU WA NCHI?

2. Lowasa amewaambia, mwenye ushahidi wowote dhidi ya tuhuma zinazoelekezwa kwa yeye Lowasa, ampeleke mahakamani. Mahakamani sote tunafahamu ndipo waharifu wote hupelekwa na mahakama inapojjiridhisha bila shaka juu ya ukweli, hukumu hutolewa.

SWALI LAKUJIULIZA, DR. SLAA, MWAKYEMBE, SITA, WOTE HAWA WANADAI WAO WANAVILELEZO HALISI VYA UFISADI HUU. KAMA KWELI MHUSIKA NI LOWASA, WALIOGOPA NINI KUMPELEKA MAHAKAMANI ILI AHUKUMIWE?

SERIKALI HIYO YA CCM INAYOKIMBILIA KUMSHITAKI GWAJIMA KWA KUHARIBU NYAYA ZA TANESCO, KWA NINI HAIKUMSHITAKI LOWASA BAADA YAKUWA IMEKABIDHIWA REPORT YOTE YA MWAKYEMBE?

SASA JUZI JUZI TENA LOWASA KARUDIA KWAMBA, MWENYE TUHUMA DHIDI YAKE AENDE MAHAKAMANI, KWA NII KINA MWAKYEMBE, SITA NA LOWASA HAWAENDI MAHAKAMANI BADALA YAKE WANAISHIA KUBWABWAJA KWA WANANCHI AS IF HAWAJUI SHERIA NA TARATIBU ZA KUSHUGHULIKIA WAHARIFU?

WANAPOKUJA KULIA LIA KWETU WANATAKA WANANCHI WATOE HUKUMU KAMA PINDA ALIVYOAMURU WATU WAPIGWE TU? AU KAMA MAGUFULI ALIVYOWAAMURU POLISI WAUE MAJAMBAZI BILA TRIALS?

3. Dr. Slaa na watu wote wame testify kwamba alimkubali lowasa, mkewe kasema hata wanakulaga chakula pamoja majumban imwao, na kwamba YEYE SLAA NDIYE ALIYEANZA KUMTAFUTA LOWASA na kumshawishi ajiunge na UKaWa, akamtumiwa hadi Gwajima ili amshawishi. Kitendo cha leo kuja kuibuka na hoja za hasira kwamba LOWASA NI FISADI, HAFAI KWA MASLAHI YA TAIFA , KUMBE ALIPOKUWA AKIMTAFUTA KUMLETA CHADEMA ILIKUWA NI KWA MASLAHI YA NANI?

Slaa amejidhaliisha na kujifedhehesha sana kwa uwongo, hila na ubinafsi uliokithiri!. Hakuna mwenye akili ataelewa kwamba baada ya kumwalika na kujiunga na kumpokea, sasa ghafla kageuka shetani. Baada ya kupokelewa CHADEMA, nini kilifanyika kilichomfanya slaa aanze kujivua nguo hadharani? Ni dhahiri ni uraisi. Mengine haya ni uwongo wa kufanikisha malengo ya wivu na ubinafsi.

MNAONAJE WANANCHI TUKIAMUA SASA KUANZA KUTOA HUKUMU KIVYETU VYETU KWA WATUHUMIWA WA RICHMOND WLAIOSHINDWA KUJITETEA KINA KIKWETE?
TUKIWAMALIZA TUNAKWENDA KWA WATUHUMIWA WA EPA?
BAADAYE TUNAKWENDA KWA MAGUFULI NA UFISADI WAKE WA BILIONS 250 ZA REPORT YA CAG?
TUTOKE HAPE TUWASHUGHULIKIE WATUHUMIWA WA KIWIRA AMBAO WANAFAHAMIKA TU?
BAADA YA HAPO TUENDE KWA MEREMETA, KAGODA, RADA, NDEGE YA RAISI, ESCROW NA REA INAYOTUFANYA TULIPE MAFEDHA YA UMEME WA KUONEA KAMA TUNA VIWANDA MAJUMBANI?

NANI ATABAKI SALAMA CCM YENU HIYO?

CCM WANAFANYA KAMPENI HATARISHI KULIKO WANAVYODHANI. UJINGA WAO UTAWAGHARIMU.

KAMA WANAJUA HILO, HATUTAKI WAJE NA UPUMBAVU WAO KWETU, WASITUPOTEZEE MUDA BALI WAENDE MAHAKAMANI KABLA HATUJAWAPOPOA NA MAWE!.
 
Sitta na Mwakyembe wanafiki wakubwa

ingawa naamini Lowassa alihusika...lakini Sitta na Mwakyembe hawana moral authority
ya kumnyooshea mtu kidole
wao walikuwa na nguvu yote ya kuongoza au kulazimisha mchakato wa kimahakama
kuwashitaki woote waliohusika na tusingekuwa tunajadili tena leo..mahakama ingesema...

hawakufanya yote hayo na sasa wanaligeuza suala la Richmond la kisiasa
masuala ya kimahakama yawe ya kimahakama

The Boss wakati mwingine unakuwa Great Thinker! kwa nini usichague kubakia hivi hivi kuliko unapoamua kuyumba?
 
Sio kuyumba..napenda ku criticize zaidi
watu hawapendi watu wanao waunga mkono wawe criticized...
sina upande nina criticize both CCM na UKAWA..na ACT..
 
Hapa anayeaminika sasa ni Lowasa peke yake ambaye amesema maswala mawili mazito ambayo si hawa madalali hapo juu, si serikali, kiongozi yoyote amediriki kutoka hadharani na kumhoji au kumjibu Slaa au kutolea maelezo ya tuhuma alizozisema Lowasa.

1. Mradi wa Richmond ni wa Kikwete. Wenye akili wanaunganisha na taarifa aliyoisema Mwakyembe kwamba mengine wameamua kuyaficha kwa usalama wa nchi, naye huyu anaungana na Pinda aliyesema mafisdi ni watu wenye nguvu sana wakiguswa nchi itatikisika. Kwa maelezo haya, kwa nini TUNALAZIMISHWA KUTOKUMWANINI LOWASA ALIYESEMA HADHARANI KWAMBA RICHMOND NI YA KIKWETE NA HAKUNA KIKWETE, MWAKYEMBE, SITA WALA NANI AMEJITOKEZA HADHARANI KUKANUSHA AU HATA KUMCHUKULIA HATUA ZA KISHERIA LOWASA KWA KUSEMA UWONGO JUU YA MKUU WA NCHI?

2. Lowasa amewaambia, mwenye ushahidi wowote dhidi ya tuhuma zinazoelekezwa kwa yeye Lowasa, ampeleke mahakamani. Mahakamani sote tunafahamu ndipo waharifu wote hupelekwa na mahakama inapojjiridhisha bila shaka juu ya ukweli, hukumu hutolewa.

SWALI LAKUJIULIZA, DR. SLAA, MWAKYEMBE, SITA, WOTE HAWA WANADAI WAO WANAVILELEZO HALISI VYA UFISADI HUU. KAMA KWELI MHUSIKA NI LOWASA, WALIOGOPA NINI KUMPELEKA MAHAKAMANI ILI AHUKUMIWE?

SERIKALI HIYO YA CCM INAYOKIMBILIA KUMSHITAKI GWAJIMA KWA KUHARIBU NYAYA ZA TANESCO, KWA NINI HAIKUMSHITAKI LOWASA BAADA YAKUWA IMEKABIDHIWA REPORT YOTE YA MWAKYEMBE?

SASA JUZI JUZI TENA LOWASA KARUDIA KWAMBA, MWENYE TUHUMA DHIDI YAKE AENDE MAHAKAMANI, KWA NII KINA MWAKYEMBE, SITA NA LOWASA HAWAENDI MAHAKAMANI BADALA YAKE WANAISHIA KUBWABWAJA KWA WANANCHI AS IF HAWAJUI SHERIA NA TARATIBU ZA KUSHUGHULIKIA WAHARIFU?

WANAPOKUJA KULIA LIA KWETU WANATAKA WANANCHI WATOE HUKUMU KAMA PINDA ALIVYOAMURU WATU WAPIGWE TU? AU KAMA MAGUFULI ALIVYOWAAMURU POLISI WAUE MAJAMBAZI BILA TRIALS?

MNAONAJE WANANCHI TUKIAMUA SASA KUANZA KUTOA HUKUMU KIVYETU VYETU KWA WATUHUMIWA WA RICHMOND WLAIOSHINDWA KUJITETEA KINA KIKWETE?
TUKIWAMALIZA TUNAKWENDA KWA WATUHUMIWA WA EPA?
BAADAYE TUNAKWENDA KWA MAGUFULI NA UFISADI WAKE WA BILIONS 250 ZA REPORT YA CAG?
TUTOKE HAPE TUWASHUGHULIKIE WATUHUMIWA WA KIWIRA AMBAO WANAFAHAMIKA TU?
BAADA YA HAPO TUENDE KWA MEREMETA, KAGODA, RADA, NDEGE YA RAISI, ESCROW NA REA INAYOTUFANYA TULIPE MAFEDHA YA UMEME WA KUONEA KAMA TUNA VIWANDA MAJUMBANI?

NANI ATABAKI SALAMA CCM YENU HIYO?

CCM WANAFANYA KAMPENI HATARISHI KULIKO WANAVYODHANI. UJINGA WAO UTAWAGHARIMU.

KAMA WANAJUA HILO, HATUTAKI WAJE NA UPUMBAVU WAO KWETU, WASITUPOTEZEE MUDA BALI WAENDE MAHAKAMANI KABLA HATUJAWAPOPOA NA MAWE!.

Wakiweka ushahidi hadhalani na kumshtaki sasa utachukua uamuzi gani?
 
TUMWAMINI MWAKYEMBE
HUYU ALISEMA KAMA USHAHIDI WOTE UKIJA BUNGENI SERIKALI INGEANGUKA (wakati huo lowassa alishajiuzulu)
kwa maana hiyo nani tena wa kuanguka kama sio aliyejuu ambaye LOWASSA kamtaja kuwa ndiye aijuaye richmond?

kamati ya mwakyembe hamkutia hatiani lowassa kwa kosa la moja kwa mmoja ndio maana ulimtaka lowassa ajifikirie na kutafakari juu ya nafasi yake pamoja na kwamba hana tuhuma za mmoja kwa mmoja

MWAKYEMBE AAMINIWE
 
1. Mh. Edward Lowassa aliyekuwa waziri Mkuu wa Tanzania na aliyejiuzulu katika kadhia hiyo?
Nadhani EL umuondoe then wabaki watatu.
Yeye ndiye wote wanamtuhumu na katika kujibu kasema ni kweli lakini alikuwa anatekeleza AMRI (sina uhakika kama ni maelekezo) ya juu, na kaenda mbele zaidi kuwa kama kuna mwenye ushahidi aende Mahakamani.
Sasa nashangaa akina Sitta na Mwakye kusema eti "tutampeleka EL Mahakamani" wakati nilitegemea kuwasikia wakiwa huko tayari na mahakama ikitwambia tarehe ya kesi!

Sitta na Mwakyembe wanafiki wakubwa

ingawa naamini Lowassa alihusika...lakini Sitta na Mwakyembe hawana moral authority
ya kumnyooshea mtu kidole
wao walikuwa na nguvu yote ya kuongoza au kulazimisha mchakato wa kimahakama
kuwashitaki woote waliohusika na tusingekuwa tunajadili tena leo..mahakama ingesema...

hawakufanya yote hayo na sasa wanaligeuza suala la Richmond la kisiasa
masuala ya kimahakama yawe ya kimahakama

Umeongea kweli kabisa kakangu, lakini poa huwezi kuzungumzia Richmond bila kumzungumzia JK, ni kama issue ya ESROW au EPA bila jina la JK issue haiswii

na ndio maana inakuwa vigumu sana kwa mtu kama Lowassa kustakiwa, maana wakimwaga mboga yeye atatoboa kabisa masufuria yote
 
Back
Top Bottom