Ripoti ya Richmond Bungeni (FULL TEXT) na yatokanayo

I-download ili uwe na copy yako maana washitakiwa wataifuta muda si mrefu.
Mkuu Bukyanagandi ahsante kwa taarifa hii muhimu, mwaka huu na tunako elekea maghamba wana mengi ya kujibu sijui wataficha ficha hadi lini,hatimae mambo yatawekwa wazi hadharani!!!

 
Tatizo ni kwamba, baada ya muda mfupi tu itafutwa.Maana haya Magamba yana matatizo na hayataki mambo yao ya kishenzi yajulikane thats why Dr. SLAA NI MWIBA KWAO MAANA ANAFICHUO UJINGA WAO.
 
Thanks, Je tunaruhusiwa kuwa nayo ama ni taarifa ya siri. Maana kuna mwandishi alishawahi kutwa na barua akalimwa miaka mitatu jela eti ana taarifa isiyomhusu.
 
Obama alipokuja kufungua mradi wa umeme uliorithi mambo ya RICHMOND na muonekano uleule tulimshangilia na kumsifu. Acheni hizoooooooooo!!! Mshkaji ni Jembe.
 
Back
Top Bottom