Naomba kuuliza huyu simiyu ni Me au Ke
ni mume sema keshaolew kitambo
Naomba kuuliza huyu simiyu ni Me au Ke
kwanini mbatia hataki tarifa ya CAG tuipate wananchi wa kawaida anakwepa nini.
Hivi niwaulize watanzania kwa mfano Pinda, Muhonogo na Werema wakijiuzulu nyie mnanufaika na nini? hebu achene ushabiki maandazi kushabikia vitu msivyovijua. POMBAV ZENU
Yani wewe SIMIYU na timu yako huwa siwaelewi kabisa hivi mpo humu kuharibu mijadara makini ama ni nini?.muda wote mnashinda humu mnapata muda saa ngapi wa kazi zenu mnatukwaza sana sio kila jambo lazima uchangie Mkuu
Baada ya CCM kuona imebanwa mbavu na hoja ya sakata la escrow na wabunge kuzima njama zilizokuwa zimetengenezwa za kuzuia mjadala usiletwe mezani kwa kutumia Mahakama.Sasa wamekuja na njia mbadala.
Ukweli ni kuwa mtu huyo aliyedaiwa kukutwa na nyaraka za uchunguzi huo, amepangwa ili wajifanye kumkamata na kufungulia mashitaka feki kusudi mjadala huo uzuiliwe kujadiriwa Bungeni kwa kisingizio kuwa jambo lililopo mahakamani lisijadiriwe Bungeni.
Kwa sura hiyo ndio maana wananchi pamoja na Wabunge wetu wanaoitakia mema nchi hii tupaze sauti kukemea ubakaji huu wa haki zetu.
Mkuu nilitaka nikutukane lakini basi hivi hukumbuki asubuhi mbatia ndiyo alikuwa anataka jambo hili lisijadiliwe kwani mbatia naye ni mbunge wa ccm,acheni ujinga mkuu tena spika amekomaa kweli kutaka lijadiliwe wakati lisu,mnyaa,mnyika na mbatia walitaka liondolewe lisijadiliwe sasa wewe unaongea nini acha kabisa ujinga mkuu.

mkuu we juha kweli nani ambaye alitaka kupinga ripoti ya CAG kuwafikia wananchi,na kwanini mbatia anahofu ripoti ya CAG kuwafikia wanchi,nimeona nikuulize haya masawali japo siyo mimi uliyenitukana mbugila wewe.
Naomba kuuliza huyu simiyu ni Me au Ke
Mkuu nilitaka nikutukane lakini basi hivi hukumbuki asubuhi mbatia ndiyo alikuwa anataka jambo hili lisijadiliwe kwani mbatia naye ni mbunge wa ccm,acheni ujinga mkuu tena spika amekomaa kweli kutaka lijadiliwe wakati lisu,mnyaa,mnyika na mbatia walitaka liondolewe lisijadiliwe sasa wewe unaongea nini acha kabisa ujinga mkuu.
Usipende kupotosha mambo manina wewe.
mkuu una undugu na mtu wa namna hii? pole sanaSimiyu ndugu yangu umefikia huko?