samaki2011
JF-Expert Member
- Dec 17, 2013
- 1,775
- 469
Nipashe hawawezi kumuandika vizuri Prof Muhongo kwa vile katia mchanga kitumbua cha bosi wao Mengi. Porojo tu hizi
vipi na wewe ulipata kamgawo nini, mnafaidi wenyewe tu daaa
Nipashe hawawezi kumuandika vizuri Prof Muhongo kwa vile katia mchanga kitumbua cha bosi wao Mengi. Porojo tu hizi
Ni mtu mwenye dharau, kiburi na majivuno ya hali ya juu, sijui hata aliwezaje kupanda majukwaani na kuwaomba wananchi kura anaonyesha hana chembe ya ubinadamu, au sijui ni pesa zimembalisha hakuwa hivi? Any way tunavuna tulichopanda kuwachagua CCM kutuongoza ndio kosa kubwa kuliko yote, haya mengine tunayovuna ni nyongeza tu.
Huyu jamaa hakuomba kura jukwaani, ni yule jamaa yake wa Meremeta (Binyamin) ndo alimshauri jk amuingize huku
.....ciasijui nani alimwambia aje huku, sasa hivi angekuwa anapiga ma stereographic projection kwa amaniii.
Nilikuwa sijasoma chanzo cha habari, kumbe NIPASHE, basi tena
O.K sasa naanza kuelewa kwa nini anakiburi namna hii, kwa sababu kaingizwa na ufisadi wa meremeta, ana uhakika hakuna kitu anaweza fanywa kwa kuwa anajua mengi yaliyomo kwenye ishu ya meremeta ambayo nao ni uchafu mkubwa ufisadi mkuu, ndio maana alisema nchi itatikisika akijiuzulu kwamba atatoa mabo mengi hadharani, viongozi wakuu wa nchi wataumbuka. Ndio maana anapiga dili kwa kuwa alishaona meremeta haikuwafunga watu, poor Kikwete shame on you watu wa ufisadi ni wale wale, Meremeta, chenge, Olenaiko (huyu mwanae kaoa kwa lowasa) yona bado anakesi mahakamani, nchi ngumu hii?
Du, watu wale wale, kazi ile ile, nchi hii tu, ukoo wa panya at work, Mungu mwingi wa rehema wewe tuondolee utawala huu.Huyu Muhongo ameoa nyumba moja na mtoto wa Benjamin, so sioni ajabu kupata uwaziri kwa kupewa na sioni ajabu kuhusika kwenye ufisadi na pia sioni ajabu alivyosema kwamba nchi itatikisika coz anajua mambo mengi ya kifisadi ambayo yamekua yakifanyika kuanzia kipindi cha mkaahapa hadi sasa kipindi cha tezidume.
Nipashe hawawezi kumuandika vizuri Prof Muhongo kwa vile katia mchanga kitumbua cha bosi wao Mengi. Porojo tu hizi
Huyu jamaa MUHONGO ni mpuuzi na amejaa ujinga mwingi kichwani, nilishampuuza siku nyingi sana. Elimu uuchwara tu, zamani nilikuwa nafikiri maprofesa ni watu wenye akili sana kumbe wengi wao wamejaa ujinga mwingi kama huyu jamaa.
Makonda siyo Mbunge wa Bunge la jamhuri
Hivi wanangoja nini kuachia ngazi?
Ila bosi wenu Mengi ndo mwerevu? Mbona na yeye ni mpuuzi tu kama wapuuzi wengine! Ndo maana akina Maulid Kitenge wamemkimbia kwa vile ni mpuuzi