Hiyo mbinu itakuwa ya kijinga sana. Mahakamani kutakuwa na kesi ya mtu aliyeiba report, na si kitu kitakachokuwa kinazungumziwa na report. Report ijadiliwe kwani kilichomo ni kuhusu fedha za escrow na si mwizi wa report.Wabunge wakiweza kuchora mpaka wa kuitenganisha report na vioja vingine watakuwa wamefaulu!