Ripoti ya PAC Haikutumia uchambuzi wa CAG

rebeccamrema

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
334
196
Katika kile kinachoonekana kama kuongozwa na chuki binafsi katika mchakato wa uandaaji wa ripoti ya PAC.

Imefahamika kuwa kamati hiyo inayoongozwa na Zitto Kabwe haikufanyia kazi maoni wala mapendekezo ya CAG ambayo yameonesha uwajibikaji wa Viongozi wakuu yaani Maswi na Werema katika kujiridhisha juu ya uhalali wa kisheria wa PAP kumiliki pesa hizo kabla ya kuidhinisha malipo hayo baada ya PAP kuithibishia kamati uhalali wake kisheria na kutoa kinga kwa TANESCO.

Ripoti ya CAG imeonesha Uwajibikaji wa hali ya juu tofauti na PAC Inavyotaka kuwaaminisha watanzania
 
Mtamaliza ID zote lakini too late....

lilianza jaribio la kuzuia bunge kupitia mahakama likakwama....

Likaja jaribio la kuiba ripoti ya CAG na kuchomoa nyaraka muhimu likabuma.....

Mbaya zaidi mlipewa nafasi ya kujibu au kusambaratisha hoja za PAC baada ya ripoti kuwasilishwa pia mlishindwa.....

Muhongo alipewa zaidi ya SAA 2 kujibu tuhuma kwa facts kachemsha vibaya....

Leo mnaleta masimulizi yanini? hatuhitaji maana ya Dodoma kila MTU aliona.....

Too low.....
 
Nitaendelea kupingana na yeyote anayetaka muhongo awajibike wakati hakuna mahala popote penye ubaya wa muhongo ndiyo maana nasema jk hawezi kufanya jambo kwa kushinikizwa na kikundi cha mtu yeyote.
 
Kijana wa mengi unakazi kweli mwaka huu kuhakikisha muhongo anaondoka lakini kama mungu hajapanga ataendelea kuwatumikia watanzania hata kesho ukienda ofisini utamkuta anahudumumia watu huyu ndiyo kiboko ya mafisadi kama mengi na nimrod mkono ambao walizoea kutuibia muhongo ni kiboko yao.
 
Usije ukadhani Mimi nina akili ya kushikiwa Kama yako...

Muhongo alipewa masaa mawili kujibu hoja alishindwa kusema unayosema akaishia kubwabwaja uongo na uzushi...

Kama yeye bingwa why alishindwa ionesha dunia jinsi alivyoonewa na kuishia kuaibika??

Muhongo si alisema yule mwanasheria hakutumwa na wizara wala AG watu wakamletea barua ya AG na DG Wa TANESCO iliyokwenda ubalozini Malaysia??

Mbona le profeseri alishindwa hata kutambua ana wajibu kisheria Wa kusimamia mauzo ya hisa miongoni mwa wawekezaji Wa sekta zake?

Muhongo ameshindwa kudhibiti hasara ya TANESCO kila uchao vipi utasemaje shujaa??

Kuhudumia watanzania hajaanza yeye kila waziri na mtumishi yeyote Wa umma anahudumia watanzania.....

Vipi na breadwinner wako Hamisi Kigwangalah naye alitumwa na Mengi kuanika uongo Wa Muhongo??

Kwanini unazalilisha utu na akili yako kwa kuwa na argument za wafu namna hii??

Yaani badala ya kuja na hoja unaleta shombo za chupi kwamba natumwa na Mengi? Mbona sisi tunaandika facts nyie hamuandiki facts zaidi ya kuleta ushuzi tu??

Sikiliza wewe kima Mimi sina njaa Kama nyie mnao shinda huko kwenye viambaza vya CCM na kuimbishwa iyena iyena na kuhongwa pilau soda na ubwabwa plus vihela mbuzi.....

Mimi sio wakutumwa tumwa hovyo au wakununuliwa Kama nyie mnaohangaika kutwa kutafuta ulaji kwa kusifia watu binafsi.....

Akili yako itakuweka huru but kwakuwa umeamua kuihifadhi kwenye masaburi utatumika Sana Kama sidiria ukifika usiku unatupwa kando....

Again nakuambia lete facts usilete utumbo wako hapa hizo tuhuma huyo Muhongo aliachiwa uwanja bungeni akaishia kuharisha tu halafu huku anawatumieni nyie mahayawani kutoa uharo....
 
Nitaendelea kupingana na yeyote anayetaka muhongo awajibike wakati hakuna mahala popote penye ubaya wa muhongo ndiyo maana nasema jk hawezi kufanya jambo kwa kushinikizwa na kikundi cha mtu yeyote.

Shinikizo toka magharibi je?
 
Akili nyingine bana.
Harbinder Sing Sethi ameiweka serikali ya CCM mfukoni, serikali na chama chao haina meno imebaki kibogoyo na maneno ya kujitetea kijinga kama haya ya mleta mada
 
Mtamaliza ID zote lakini too late....

lilianza jaribio la kuzuia bunge kupitia mahakama likakwama....

Likaja jaribio la kuiba ripoti ya CAG na kuchomoa nyaraka muhimu likabuma.....

Mbaya zaidi mlipewa nafasi ya kujibu au kusambaratisha hoja za PAC baada ya ripoti kuwasilishwa pia mlishindwa.....

Muhongo alipewa zaidi ya SAA 2 kujibu tuhuma kwa facts kachemsha vibaya....

Leo mnaleta masimulizi yanini? hatuhitaji maana ya Dodoma kila MTU aliona.....

Too low.....

Hakuna masimulizi hapo,too low for you..tafuta ripoti usome watu walivyokuwa wakiwajibika katika hilo suala sio mtu anakurupuka kwa chuki binafsi ili kulipa kisasi anaropoka eti hawakuwajibika
 
Katika kile kinachoonekana kama kuongozwa na chuki binafsi katika mchakato wa uandaji wa ripoti ya PAC imefahamika kuwa kamati hiyo inayoongozwa na Zitto Kabwe haikufanyia kazi maoni wala mapendekezo ya CAG ambayo yameonesha uwajibikaji wa Viongozi wakuu yaani Maswi na Werema katika kujiridhisha juu ya uhalali wa kisheria wa PAP kumiliki pesa hizo kabla ya kuidhinisha malipo hayo baada ya PAP kuithibishia kamati uhalali wake kisheria na kutoa kinga kwa TANESCO.
ripoti ya CAG imeonesha Uwajibikaji wa hali ya juu tofauti na PAC Inavyotaka kuwaaminisha watanzania

enhe report ya CAG ilitaka mpaka JK ang'oke eeenh????
 
Hakuna masimulizi hapo,too low for you..tafuta ripoti usome watu walivyokuwa wakiwajibika katika hilo suala sio mtu anakurupuka kwa chuki binafsi ili kulipa kisasi anaropoka eti hawakuwajibika

nakuuliza ww uliyesoma Je Muhongo aliwajibikaje????
 
Ile sheria ya uhujumu uchumi iliishia wapi kuna watu wameihujumu NBC hizo hela zinasababishia serikali kuhujumiwa
 
Hakuna masimulizi hapo,too low for you..tafuta ripoti usome watu walivyokuwa wakiwajibika katika hilo suala sio mtu anakurupuka kwa chuki binafsi ili kulipa kisasi anaropoka eti hawakuwajibika

Nimeuluza hivi Muhongo si alipewa nafasi ya zaidi ya masaa 2 mbona alichemka kule nyie vipapa msituchoshe na akili zenu za wafu
 
Katika kile kinachoonekana kama kuongozwa na chuki binafsi katika mchakato wa uandaji wa ripoti ya PAC imefahamika kuwa kamati hiyo inayoongozwa na Zitto Kabwe haikufanyia kazi maoni wala mapendekezo ya CAG ambayo yameonesha uwajibikaji wa Viongozi wakuu yaani Maswi na Werema katika kujiridhisha juu ya uhalali wa kisheria wa PAP kumiliki pesa hizo kabla ya kuidhinisha malipo hayo baada ya PAP kuithibishia kamati uhalali wake kisheria na kutoa kinga kwa TANESCO.
ripoti ya CAG imeonesha Uwajibikaji wa hali ya juu tofauti na PAC Inavyotaka kuwaaminisha watanzaniaHapa hasa umeongea nini? Umechelewa
 
Back
Top Bottom