Ripoti ya CAG safari hii inaweza kutuacha wengi midomo wazi

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
114,592
2,000
Ile aliyokabidhiwa Magufuli mwaka jana mpaka hii leo inapigwa vumbi ofisini kwake na haijawahi kujadiliwa bungeni kisa ina ufisadi uliofanywa na Magufuli kabla ya kuingia Ikulu.

Kuna kila sababu CAG akague kuhusu ununuzi wa ndege ambao umekiuka taratibu za Serikali za manunuzi na pesa zilizotumika 1 trilioni hazikuidhinishwa na Bunge.

Huu ni mtazamo wangu kutokana na hali ninayoiona ila tusubiri wakati ufike.

Utaratibu wa ripoti ya CAG kuwasilishwa na kujadiliwa Bungeni naungalia kwa jicho la Bunge live.
 

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
42,185
2,000
Ile aliyokabidhiwa Magufuli mwaka jana mpaka hii leo inapigwa vumbi ofisini kwake na haijawahi kujadili wala bungeni kisa ina ufisadi uliofanywa na Magufuli kabla ya kuingia Ikulu.

Kuna kila sababu CAG akague kuhusu ununuzi wa ndege ambao umekiuka taratibu za Serikali za manunuzi na pesa zilizitumika 1 trilioni hazikuidhinishwa na Bunge.
Mkuu, wacha tusubiri muda ufike tutasikia mengi.Tukiongea sana kwa sasa tunaweza kuitwa wazushi na wachochezi ila muda ndio kiboko yao.
 

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
33,868
2,000
Mimi Ni nasubiri kuona bajeti ya trillion 22 ambayo haikuridhiwa na bunge kama imetekelezeka maana mwaka wa bajeti unakaribia kuisha.
Hayo hutoyasikia kwenye report itakayokabidhiwa March 30,inakabidhiwa ni hesabu na matukio yanayoishia June 2016,ndege nk ni mambo yaliyojiri kuanzia July 1
 

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
42,185
2,000
Duu mkuu umekuwa muoga namna hii,kuna namna nyingi za kufikisha ujumbe
Ni kweli zipo namna nyingi na mojawapo ni hii style niliyotumia kuleta hii mada.

Kwa mfano hapo niliposema " kwa jicho la Bunge live" hujaelewa?Hujui kuwa huu utaratibu wa kujadili hiyo ripoti Bungeni ulikuwa ni mapenzi ya JK tu?Jiongeze hapo namanisha nini.
 

geophrey20

JF-Expert Member
Feb 11, 2013
1,522
2,000
Ile aliyokabidhiwa Magufuli mwaka jana mpaka hii leo inapigwa vumbi ofisini kwake na haijawahi kujadili wala bungeni kisa ina ufisadi uliofanywa na Magufuli kabla ya kuingia Ikulu.

Kuna kila sababu CAG akague kuhusu ununuzi wa ndege ambao umekiuka taratibu za Serikali za manunuzi na pesa zilizitumika 1 trilioni hazikuidhinishwa na Bunge.
huko bungalow c ndo kwao na mafisadi
 

bnhai

JF-Expert Member
Jul 12, 2009
2,402
2,000
Kuna matatizo makubwa sana hasa kwenye manunuzi. Rais pia amekuwa akifanya manunuzi bila kufuata taratibu za kisheria. Angalia TBA wanavyopewa shavu. Ujenzi si majengo tu ni mpaka kipindi cha uangalizi.
 

Lambardi

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
11,691
2,000
Sijui mwaka huu nini kitajiri! Maana hata bajeti hajapewa! Tuone kama utekelezaji wa ile report iliopita ambapo sizonje aliguswa moja kwa moja!
 

spetinaty

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
229
250
Dah kila nikitaka kuombea nchi yangu I see the devil coming in a supersonic speed and I become powerless I fail to understand what has happened to my beloved country? But finally I come to realize that the government is the great hindrance to our nation's prosperity because the power is in the arms of a single venerated misleader
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom