Utaratibu wa ripoti ya CAG kuendelea kuwasilishwa Bungeni sidhani kama utaendelea katika awamu hii.Itatafutwa sababu ya kuufuta huo utaratibu.Tuliwaambia Jk ndio Rais wa Kwanza kuwa na Ujasiri wa kuruhusu report ya CAG Bungeni Tangu Dunia iumbwe na huenda tusipate Tena Rais mweny uthubutu wa namna hiyo hivi karibuni.
Zile kelele nying za Ufisadi wakat wa Jk zilisikika sana tukadhan Utawala wake ndio ulikuwa na ufisadi sana. Siku hizi hatutaskia tena Kelele za Ufisadi na tutashangilia ufisadi umeisha.
Labda mchakachue hiyo Ripoti vinginevyo itakuwa ni aibu ya karne.Tuache Uganga wa kienyeji tusubiri aje.
He is not leader... he is doent qualify to be a president, he is just a angry guy from no where with no idea about what good leadership is.Dah kila nikitaka kuombea nchi yangu I see the devil coming in a supersonic speed and I become powerless I fail to understand what has happened to my beloved country? But finally I come to realize that the government is the great hindrance to our nation's prosperity because the power is in the arms of a single venerated misleader
Dah kila nikitaka kuombea nchi yangu I see the devil coming in a supersonic speed and I become powerless I fail to understand what has happened to my beloved country? But finally I come to realize that the government is the great hindrance to our nation's prosperity because the power is in the arms of a single venerated misleader
Mkuu,yameanza kutimia kuhusiana na ujenzi wa hostel za UDSM.Ile aliyokabidhiwa Magufuli mwaka jana mpaka hii leo inapigwa vumbi ofisini kwake na haijawahi kujadiliwa bungeni kisa ina ufisadi uliofanywa na Magufuli kabla ya kuingia Ikulu.
Kuna kila sababu CAG akague kuhusu ununuzi wa ndege ambao umekiuka taratibu za Serikali za manunuzi na pesa zilizotumika 1 trilioni hazikuidhinishwa na Bunge.
Mkuu,yameanza kutimia kuhusiana na ujenzi wa hostel za UDSM.
Zitto kamlipua mkulu.
Nadhani leo umepata jibu kupitia Zitto na uzuri uzi umeuleta wewe mwenyewe.Unataka kusema nini mkuu Salary Slip
Tusimkatishe zitto tamaa tuendelee kumuombea na kumtia moyoZitto atamuacha uchi na uongo wake. Ni bora anyamaze tu, naona Nissan nyeupe kuanza kumnyemelea Zitto.
Tusimkatishe zitto tamaa tuendelee kumuombea na kumtia moyo
Mkuu mie simkatishi tamaa. Nataka aendelee kumuanika hadharani huyu muongo, lakini ukweli pia tunaujua ila nadhani Zitto baada ya kumuona Lissu amepata ujasiri mkubwa hivyo ameamua kuvaa viatu vyake ili kuendeleza mapambano na huyu dikteta uchwara anayeivuruga nchi yetu pendwa.