RIPOTI YA CAG: CHADEMA ilitumia Tsh Milioni 377 bila idhini ya Baraza la Chama

Hati chafu mwaka jana? Upo serious? Unaweza kuthibitisha huu uongo wako?

Then hapo hakuna pesa imeibwa bali imetumika ila tu hakuna kikao kilikaa kuidhinisha meaning ni bureaucracy tu hazikufuatwa ila bidhaa imenunuliwa na risiti zipo otherwise angetoa hati yenye mashaka.
Brother mimi sio mjinga thread nimeisahau,matusi na ya kumbuka.

Sawa hamna pesa iliyopigwa ndio maana nikawaita MALAIKA.
 
Brother mimi sio mjinga thread nimeisahau,matusi na ya kumbuka.

Sawa hamna pesa iliyopigwa ndio maana nikawaita MALAIKA.
Mwaka jana kivp hati chafu ilikua back in 2016/17 huko tena ni gari la mbunge kununuliwa kupitia akaunti za chama na yeye akawa anakilipa chama taratibu.

CHADEMA sio malaika but accounting procedures ni ngumu kwenye taasisi nyingi ila serikali na halmashauri zina control systems za gharama hatutegemei wafanye makosa hayo more so in billions!!

Ingekua pesa zimeibwa kama kule ATCL au TPA hapo tungehoji ila kama hela imetumika kihalali na risiti zipo ila tu hakukuwa na kikao basi hapo utata unakuwa solved tu.
 
CHADEMA ni malaika kama hutaki sawa,ila ninakumbuka nilivyo tukanwa na PM nikaifunga siongei kujifuraisha.

Hata ww machoni mwako unawaona malaika,ngojea sisi watizamaji tiwatizame MALAIKA WETU watachukua hatua gani,BAADA YA KUSINGIZIWA MAANA HAWAKOSEAGI HAWA.
 
So ukitukanwa PM ni CHADEMA kisa tu mlipingana hoja? Kuna tabia ilizuka kila anayekosoa anaonekana CHADEMA hvi ina maana huko CCM wote mnafanana mawazo yaani hakunaga hata issue moja ambayo mnatofautiana??

Yes kukosea kupo mfano miaka ya Dr Slaa tulipata hati chafu sababu hatukuwa tuna value fixed asset zetu, hatukuwa tuna tunza risiti, hatukua tunatumia process za tender kupata supplier n.k ila over the years improvement zimefanyika hadi tumepata Hati inayoridhisha miaka miwili mfululizo.

Nadhani kwa hilo tuwape pongezi sio kubeza kila.kitu
 
Nchi hii kila mtu na kila ofisi kumejaa wapigaji tu. Hata ofisi ya CAG yenyewe ikikaguliwa lazima wakute madudu tu
 
Mtimueni Mbowe sasa tujue kweli mko seriuos.

Yule taahira wa ubelegiji kwenye hili utakuta yupo kimyaa

CAG amewapa hati safi 2019/2020 , hio ni ripoti ya mwaka gani?

Wanatia wasiwasi hawa watu hata kabla ya kupewa nchi wanafanya ubadhilifu wa namna hii?

Chadema kilinunua magari matano yenye thamani ya Sh. 227.43 milioni na nyumba moja Sh. 50 milioni iliyopo Serengeti bila idhini ya Baraza Kuu la Chama.

Pia, Sh.100 milioni zilitumika kwenye matumizi ya kawaida ya chama bila ya idhini ya baraza kuu la chama.
Kama imesemwa kwenye ripoti ya CAG naamini wamefanya hivyo na ni makosa...
na wewe nikuulize,
Ile miradi ya CHATO ilipita bungeni? Ndege zilipita bungeni?
 
So ukitukanwa PM ni CHADEMA kisa tu mlipingana hoja? Kuna tabia ilizuka kila anayekosoa anaonekana CHADEMA hvi ina maana huko CCM wote mnafanana mawazo yaani hakunaga hata issue moja ambayo mnatofautiana??

Yes kukosea kupo mfano miaka ya Dr Slaa tulipata hati chafu sababu hatukuwa tuna value fixed asset zetu, hatukuwa tuna tunza risiti, hatukua tunatumia process za tender kupata supplier n.k ila over the years improvement zimefanyika hadi tumepata Hati inayoridhisha miaka miwili mfululizo.

Nadhani kwa hilo tuwape pongezi sio kubeza kila.kitu
Tatizo mna mentality ya kuamini watu wa chama kimoja hawawezi kupingana.Hiyo naona ipo mpaka kwenye vyama vyetu,mtu anaye mpinga Kiongozi hata kama ana point ana onekana Msaliti au hana nidhamu.

Mimi alinitukana ni CHADEMA na hata kwenye thread hiyo,aliji dhihirisha yeye ni CHADEMA.

Simbezi mtu mimi naingalia ripoti ya CAG na group la Malaika.
 
Kwani mama ni chadema mpaka mataga muamue kulipiza kisasi?Hebu msitutoe kwenye reli kuongelea upigaji wa MwenyeKwenda!
 
Magari 5 ya CHADEMA ............................................................................................ sh. 227M
Gari 1 la Mkurugenzi wa Halmashauri aliyesamehewa na JPM ...................... sh. 400M
hahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Isijekua zimetumika kwenye konyagi zote hizo na kulipia gesti maana hizo huwezi rudisha risiti.

Chadede bwana.
 
million 300+ tungepata madawati kama laki 6. chadema wamekula alafu wanaita Magufuli mwizi

I said two wrongs don't make a right.

-Weka ripoti ya CAG yenye kipengele cha chadema wameiba 300m+ kama CAG alivyoweka utapeli wa Clouds,Said Bagile(Kigwangallah),Wasafi,TBC ,Wizi wa trilion 1.5 wa JIWE.
 
Back
Top Bottom