Ripoti Maalum: Muhimbili hali mbaya

Ripoti Maalum: Muhimbili hali mbaya

Dahh Mungu wape hekima viongozi wetu hata nafsi ziwasute wayaone haya. Ufisadi unaofanyika nchini na kuacha huduma muhimu kama hizi...laana ya mafisadi itafika hata kizazi chao cha 4.
Nimesoma hii ripoti mwanzo mwisho ni maskitiko.
Serikali ya CCM 100% wameshindwa kazi
 
Haya matatizo tuliyo nayo ni wakati wa kujinyooshea kidole sisi wenyewe na sio viongozi wetu kama tulivyo zoea.
 
Taarifa nyingine zinadai hospitali za Rufaa-Mbeya,Kitete-Tabora,Kibondo-Kigoma zipo kwny hali tete kwa kutokuwepo kwa dawa.
Watanzania wanaangamia huku wanajiona.
 
na bado hali itazidi kuwa mbayaaaa wananchi ndiyo waone.
tuna chaguaga viongozi siyo ambao mwishowe wanatutia matatizoni tu
 
Ni vema hali hiyo ikaendelea kuwa ngumu zaidi ili safari nyingine watanzania mjifunze kuondoa ushabiki wa Yanga na Simba kwenye siasa.

Watanzania wanapiga kura kama vipofu halafu wanalalama kama vichaa! (Generali Ulimwengu)

ila kumbuka wanaoteseka ni wananchi wasio na kosa
 
Haya sasa kikowapi wengine tulikuwa tunasema katiba mpya sio dili. Hawa jamaa inabidi wachochewe na maswala ya accountability serikarini huko ndio kwenye matatizo.

Hivi inawezekana vipi matatizo yaanze January hadi kupata air time mwezi wa November kweli atuoni kuna uzembe wa hali ya juu form regulatory bodies both those those who do financial auditing and from those doing monitoring of quality and performances on the sector.

Navyojua mimi kazi ya wakaguzi ni kuionya serikari either matendo ya kitengo ie matumizi, practices zao na mengineo yanapokuwa sio sahihi hili ijiandae au ijaribu kuepusha undesired outcome by intervening. isitoshe wanatakiwa kujua shirika kama lina weza fanya services na budget yao, wajue mipango yao ya shirika kufikia malengo ya serikari na kuionya serikari as the situation starts to get alarming si jamani ndio maana wakaguzi wa nchi za wenzetu wana sign sijui za green, amber and red hili serikari ijipange au iingilie kati kabla ya madhara kwa jamii. Sasa si tu kwamba dawa zimeisha bali hata uamuzi wa shirika kupandisha bei kumefukuzwa wagonjwa kisa sh5000; maana yake hali ya umaskini inatisha na sasa watu wanataka nyan'ganywa hata basic right health being part of general human welfare today.

Sasa wewe unadaiwa mabillioni kwenye madawa na leo unaleta takwimu wananchi wanaona afya ndio kipaumbele halafu unaamua kutumia kwenye katiba mpya.

I tell ya Afrikans we are the most pathetic people na tunalaumu kila external influence isipokuwa matendo yetu na tabia zetu wenyewe. Yaani kwa kweli sisi ni species wa ajabu sana.
 
nikuulize luku ikiisha kwako utaenda mwajibisha balozi wa nyumba kumi?

we bwana uko sawasawa, unashindwa hata kutofautisha kati ya public service na individual service ? kama viongozi ndo hawa ! !!? kazi tunayo.
 
"Chagua CCM 2015"...

Hayo ndio yatakuwa maneno ya wenye nchi hapo mwakani...:becky:
 
Kwa hali hiyo bado utaniambia ccm inakubalika kwa 48% dhidi ya 24% ya ukawa
 
Hivi ule ukarimu tuliokuwa tunausikia wa JK uko wapi? Kweli Hali kama hii viongozi wote pamba masikioni? Kweli aliekuwa....!!
 
Maisha bora kwa kila mtanzania,ccm oyeee! Watu wanakufa yeye anatibiwa marekani,very shameful! Inafaa wananchi waandamane kuishinikiza serikali iboreshe huduma za kiafya ili kuutangazia ulimwengu kuwa nothing chinese professor has done for this country. Anajisikia fahari sana kutibiwa nje ya nchi huku wagonjwa wanalala hospitali kwenye sakafu. Hii nchi kama kuna watu wataichagua ccm Mungu awalaani na malipo yawe hapa hapa duniani.
 
Back
Top Bottom