Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,209
- 162,780
- Thread starter
- #41
Ulimboka yuko wapi?
Hivi uko wako wote wanamudu kutibiwa Marekani,Ulaya na India?
Umejiuliza kuhusu wajukuu zako na vitukuu vyako watatibiwa wapi?
Ulimboka yuko wapi?
nikuulize luku ikiisha kwako utaenda mwajibisha balozi wa nyumba kumi?
Naunga Mkono hoja kwa 100%; what is weird in all this kuna wahusika wakutoa habari hizi ambao ni government agents and independent agents wanaojiita NGO's au hata hospitali yenyewe kuja na ripoti ya self defence kuhusu hali yake kabla gazeti alijanasa na kutoa perspective yake.Frankly speaking, NIPASHE wamethubutu kuandika Habari yenye uchunguzi wa kina, pongezi za dhati kwao, laiti habari kama hii ingewafikia wananchi from the grassroots level na wakapewa deep analysis ya kitu gani kinachosababisha hayo yote, ingekuwa ni turufu njema dhidi ya wanyonyaji hapo 2015. It's very sad kuna watu wanataka kuivua lawama Serikali kwa hoja dhaifu mno mithili ya nyumba ya buibui, hamna huruma nyie na Watanzania wenzenu? Maybe mpo ktk position ya kutoweza kukutwa na masaibu hayo ya Muhimbili, but kumbukeni ipo siku mtakayolipwa kwa kila dhulma mliyoifanya.
muhimbili hali mbaya
Hivi uko wako wote wanamudu kutibiwa Marekani,Ulaya na India?
Umejiuliza kuhusu wajukuu zako na vitukuu vyako watatibiwa wapi?
wewe bibi kweli umevurugwa,hapa watu wanaongelea nini?
kuwa mtanzania harafu masikini n kama dhambi vile, da ni shida sana na inasikitisha sana. Mungu sijui atusaidije maana nahisi atakuwa kafikiria sana harafu akaona sisi ni wajinga, akaamua tusimchoshe, katupotezea ili tufanye maamuzi wenyewe. ole wake atakaechagua tena uongozi wa namna hii next election
Hakuna mwenye uchungu na muhimbili wala hospitali yoyote ya serikali. Wanaojiona binadamu ndio hao wanaenda kutibiwa majuu. Acha walalahoi wafe hakuna mwenye uchungu nao.... thamani ya mlalahoi ni kura yake tu... akishapiga yeye ni takataka tu!
Hata madaktari nao wameanza kupiga wagonjwa ambao ni walalahoi wasio na mtetezi... walalahoi wataamka lini wajipiganie wenyewe??????
Tatizo lenu, kila jema hamlioni. Sijui vichwa vyenu vimejaa maji? Jisomee:
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wangâara Kanda ya Ziwa
Lini ulihamasisha hii? ni habari njema kabisa.