Ripoti Maalum: Buriani Nelson Mandela

Ripoti Maalum: Buriani Nelson Mandela

Thanks Mzee Mwanakijiji for cordial and full background ya Madiba.


I've to say that " the Hero" is gone, my prayers and condolences upon him, R..P Nelson Mandela instantly.
 
A life well and fully lived. The world is a better place because he lived here. His memory will surely endure for many generations to come. Ameenda kwenye himaya ya mababu.
 
Msiba huu wa Mandela unaleta kumbukumbu nyingi sana.

APEPE N.MANDELA
 
^^
Misingi ya Afrika iliyozuia mipaka ya maji isibomoe nyumba ya Afrika,,inazidi kuondoka.
..
Tumeachwa Wakiwa tukikazana kuuza milango na mabati ya nyumba kabla watoto waliolala ndani hawajaamka!
^^
 
"If I had my time over I would do the same again. So would any man who dares call himself a man." Nelson Mandela.
 
JK fanya fastaa kutuwakilisha msibani !

Nchi hii kuna watu wanaingiziwa sh laki nne ya mawasiliano tu wakati walimu wanahenya kodi za nyumba,nauli,mazingira magumu ya kazi huku mafisadi wa ccm wakitafuna nchi. Tunalia umeme haututoshi wakati alminium zinasafirishwa bure tu kwenda huko sijui wapi sijui. Gesi nayo inapelekwa china. Mchuchuma haitumiki. Rais wetu amekuwa rais wa angani pasipo kujua kila safari inaumiza watanzania. Mke wa rais anaheshimiwa hata zaidi ya raisi. Nchi tajiri duniani hazitumii magari ya kifahari kama kwetu. Tofauti ya walionacho na kajamba nani ni kubwa mno. Anyway rais wetu ataenda ila atajifunza nini juu ya maisha ya Mandela? Mzee Mandela kalale pema peponi msalimie mwl. Nyerere mwambie mtoto wake nalia kwa niaba ya uchungu.
 
Ewe mwenyezi Mungu, ilaze roho ya Madiba mahali pema peponi. Amen!
 
"Our AFRICA has lost her greatest son" says MpigaKelele.


"Afrika tumempoteza Mwanaafrika mahiri akiwa ni mmoja ya wale waliopigania uhuru wa Waafrika kwa dhati. Uwepo wake hapa duniani nina imani umejenga kujiamini kwa waafrika wengine mahiri kuisaidia Afrika wakati wowote, ni jukumu letu waafrika kuhakikisha waafrika wenzetu wenye umahiri kuisaidia Afrika kuwapa nafasi na kuwaunga mkono wakati wote.

Mungu twaomba umlaze mahali pema peponi, Mwanaafrika Nelson Mandela.

Mungu ibariki Afrika.Amen." imesemwa na MpigaKelele
 
Tukifuata mfano wa Mandela hii dunia ni mahali pazuri sana:amen:
 
"House Of Exile"

Freedom fighter standing on a mountain
In a foreign country
Trying to send a message
To his people, back in the ghetto
He had a home one time
Love of a girl
But he left that behind
Oh yes I can hear him clearly as he whispers in the air
His voice came out loud and clear
All he asked for was a prayer and as he turns to walk away he said

[Chorus:]
I'm still here in the house of exile
For the love of the nation

Sun went down on the mountain
Birds flew back to their hiding places
Leaving him standing there like a telephone pole
In the still of the night
You and I dream
Dreaming of Romeo & Juliet
All he dreams about is the freedom of the nation
When every man will be equal In the eyes of the law
As he closes his eyes
For the last time he said again

[Chorus: till fade]


 
Back
Top Bottom