Ripoti Maalum: Buriani Nelson Mandela

Ripoti Maalum: Buriani Nelson Mandela

Thanks Mzee Mwanakijiji for cordial and full background ya Madiba.


I've to say that " the Hero" is gone, my prayers and condolences upon him, R..P Nelson Mandela instantly.

Mchango wangu kidogo; I hope itasaidia pia kwa vyombo vingine vya habari vya nchini na wasomaji wa lugha ya Kiswahili popote.
 
Indeed he was a great man, capable of moving beyond normal human imaginations. His contribution towards modern South Africa is undeniable....RIP Mzee Madiba Mandela.
 
Mbona mie nikisoma hizi sred macho yanakuwa mabichi?

RIP Mandela!
 
R.I.P tata Madiba, mpenzi wa kweli wa haki, usawa, upendo na mpinzani wa siasa za jino kwa jino.
 
Si uzuri tu bali ni Mwanamama JEMBE la Afrika - huyu ndiye anabeba nembo ya Africa - Winnie Mandela MAMA AFRICA.



a34fc7b5b8fe40ed93db4926592a162d.jpg


Back to Mandela Rest in Peace!!! Ndiyo anamaliza malizia ile list ya Viongozi wazalendo wa Africa!! tumebakiza mafisadi!!
 
Aksante sana MM kwa historia makini ya Mzee Madiba.
Salamu za Raisi Obama kuhusiana na Msiba wa Mzee Madiba zimejikita kwenye hisia binafsi katika kuchochea umoja zaidi Marekani na Duniani kwa ujumla. Nimeguswa na jinsi Obama alivyoweza kuelezea hisia za mapambano yake zimechochewa na harakati za Mzee Madiba hapa duniani.
Viongozi wengi wa Afrika bahati mbaya wanatoa salamu za jumla tuu kuwakilisha mataifa yao na si pia hisia zao binafsi.
Maisha ya Mzee Madiba yawe mwanga wa uongozi wa watu kwa maendeleo ya watu barani Afrika.
 
We will always remember you mzee madiba....''r.i.p. Amen
 
"A nation should not be judged by how it treats its highest citizens, but its lowest ones." by Nelson Mandela.
 
Kuna somo kubwa hapa; mwanadamu mmoja anaweza kuitii dhamira yake na kukataa kupiga magoti kwa mwanadamu mwingine na siku ya siku atasimama na utu wake hata kama hatokuwa na kitu kingine chochote cha kuonesha.
 
Japo umetutoka kamwe hatutasahau busara zako
rip nelson mandela
 
Kuna somo kubwa hapa; mwanadamu mmoja anaweza kuitii dhamira yake na kukataa kupiga magoti kwa mwanadamu mwingine na siku ya siku atasimama na utu wake hata kama hatokuwa na kitu kingine chochote cha kuonesha.



what..........una vijembe wewe naona unamsema rafiki yangu zitto,

zitto kula desa la mwanakijiji hili......................jisimamie historia itakukumbuka our prez to be

hate it or love it ZZK atakuwa rais
 
:A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry:
 
Kuna somo kubwa hapa; mwanadamu mmoja anaweza kuitii dhamira yake na kukataa kupiga magoti kwa mwanadamu mwingine na siku ya siku atasimama na utu wake hata kama hatokuwa na kitu kingine chochote cha kuonesha.

Ujumbe mzito wa maombolezo.
 
Asante Mzee Mwanakijiji kwa hii historia nzuri. Ni somo nzuri sana naamini watu wengi wamefaidi kwa kuelewa ulichotuandikia. Ubarikiwe na alale Pema peponi mzee Mandela.
 
Back
Top Bottom