Kerosine Bal
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 247
- 231
Wote wale wale tuu... Ila kutokana na tukio na jamaa alivyokuwa anaripoti duuuuGeeeeoooorgeeeeeeee maraaaaaatooooooo wa aiiiii tiiiiii viiiiii.... Vipi huyo nae.. Unamuelewa
Sawa inamweka mjini ila aangalie na taarifa yenyewe ndo atupie mikogo yakeNilivyosoma tu kichwa cha habar nikajua atakuwa sam manoti huyu! mzoee mwenzako kasomea hiyo kazi na ndo inamweka mjini
Taarifa ya habari iliyonyooka ni itv tuuSoko huria, badilisha weka tbc
Kapiga/Mahela.....wali nazi.Badilisha channel kamsikilize Kapiga
HahahaGeeeeoooorgeeeeeeee maraaaaaatooooooo wa aiiiii tiiiiii viiiiii.... Vipi huyo nae.. Unamuelewa
Huyo jamaa anaboa sana halafu kuna mwingine kutoka bukoba sijui anaitwa nani vile!mimi ni joooojiiiiiii maaaaarrraaaaattooooooooooo wa aaaiiii tiiiiii viiiiii maraaaaaaaaaaa.......!!!!!!!
Wewe si mgonjwa tunakufahamu!Ulitaka alipotiwe baba tu.Taarifa ya habari itv naikubali sana kwa sababu wanajitahidi kutupatia taarifa kila kona ya nchi na kwa ufafanuzi mzuri kuliko vituo vingine hapa nchini.
Ila kuna ripota, sam mahela ananiboa sana anaporipoti... Mfano leo alikuwa anaripoti bomoa bomoa ya KIVULE MAGOLE kwa mbwembwe ni kama anafanya dhihaka kwa wahanga.
Sam angalia sehemu za kufanya mbwembwe bana......
Umekurupuka we mama, ebu soma uzi ueleweWewe si mgonjwa tunakufahamu!Ulitaka alipotiwe baba tu.