RIP English...Tanzanians please use Swahili

RIP English...Tanzanians please use Swahili

Sasa sikiliza kiingereza cha phd Jiwe letu ndio utachoka. Mbaya hata Kiswahili ni unreacheable!
 
Tunajaribu jaribu!
IMG-20180408-WA0046.jpg
 
A climbed tree!

Haha!, sawa bwana, kwa hapa kweli mmetupata.
Inabidi update ya dictionary iwe official sasa. From plant to climb!
Hiyo tumeshapata basi plant inakuwa climb. Harvest nayo itakuwa??? 😀 Tafakari tena bila haraka. Kumbuka, siku moja milenia ijayo wakiongea za wahenga jina lako pia litakuwa humo humo ndani. 😀 On a serious note, I don't give a shit about all that. I prefer swahili anyways.
 
When you saw me you started to six six(uliponiona ulianza kusita sita)
And this brings us to this sentence;
......IF YOU WANT TO PLANT MT.KILIMANJARO, DON'T SIX SIX, IT IS A LIGHT JOB, JUST SNAKE ONE BY ONE THEN....
 
Mkuu

Niambie alichooandika jamaa kina kosa gani kisarufi?

Niambie tu maana naona unajia "mchambuzi" sana.

Kosa alilofanya ni kuelezea kitu ambacho sicho kinachofanyika kwenye picha!

Ila kiingereza kama kiingereza kipo sahihi kabisa!

Huenda hakuicheck vizuri picha kujua ni tukio gani linafanyika au alipitiwa tu ambapo nipo sahihi kabisa,sema nyie masnitch ndio mmeamua kumwaga mbovu tu!
Acha utoto wewe,

Huyo amedhani climbing ya kupanda mlima ni sawa na kupachika mche ardhini.

Go back to school acha unafiki na utoto.
 
Hiyo tumeshapata basi plant inakuwa climb. Harvest nayo itakuwa??? 😀 Tafakari tena bila haraka. Kumbuka, siku moja milenia ijayo wakiongea za wahenga jina lako pia litakuwa humo humo ndani. 😀 On a serious note, I don't give a shit about all that. I prefer swahili anyways.

Hahaha!, kwa kweli.
Hiyo Harvest ni ngumu kweli inahitaji muda! 😀
 
Kujua kiingereza.
Alafu MCHANA MNA SHINDIA CHAI NA MAUA NI UJINGA.
TWENDENI SHAMBANI TUKALIME MAHINDI.
 
Acha utoto wewe,

Huyo amedhani climbing ya kupanda mlima ni sawa na kupachika mche ardhini.

Go back to school acha unafiki na utoto.

Acha unafiki wewe unaejifanya Mchambuzi maandazi!

Kwahiyo "climbing" hutumika kwenye milima tu?Huwezi tumia kwenye miti?Wewe ni bure kabisa!

Sentensi ina kosa gani kisarufi?Haina kosa hata chembe!

Kwahiyo kujua kingereza kama lugha halipo!

Kosa lililopo ni kuweka sentensi kwenye tukio ambalo sio lake.Hilo tu!

"Mchambuzi" my black behind!
 
mi nilishaanza kutafta tafsiri yake kwa kiswahili kumbe ni wrong language
 
Back
Top Bottom