RIP English...Tanzanians please use Swahili

RIP English...Tanzanians please use Swahili

Swali: JPM anaendesha Uchumi kwa wastani wa asilimia ngapi?
Sasa uchumi ukiendeshwa kwa wastani wa asilimia flani si inamaanisha kwamba uchumi wenyewe upo pale pale na haukui? Uchumi wa Tz unakua, punguza tantarira buana. Wewe nawe kiingereza haupo kiswahili pia haupo, ruksa kwako kutumia kikikuyu chako tu. Tutajaribu kukuelewa.
 
Kama hamtaki English nini mkue na gazeti za English... Usijutete hapa buda

Siyo hatutaki lkn sikumuelewa LAZIMA kujua kiingereza.
Na haiko kwenye vipao mbele vya kuinua uchumi.
Ila kiswahili tunakijumuisha katika ukuzi wa uchumi wa viwanda.
 
Sasa uchumi ukiendeshwa kwa wastani wa asilimia flani si inamaanisha kwamba uchumi wenyewe upo pale pale na hukui? Uchumi wa Tz unakua, punguza tantarira. Wewe nawe kwa kiingereza na kiswahili pia hupo, ruksa kwako kutumia kikikuyu chako tu. Tutajaribu kukuelewa.
Fine then,Swahili is my 3rd Language..Whats the % growth of Tz Economy?
 
Siyo hatutaki lkn sikumuelewa LAZIMA kujua kiingereza.
Na haiko kwenye vipao mbele vya kuinua uchumi.
Ila kiswahili tunakijumuisha katika ukuzi wa uchumi wa viwanda.
What's the point if teaching English in your schools
 
Stupid kenyan angered more about one English word than hunger and corruption in his country.

Low IQ creature.
 
IMG-20180407-WA0001.jpg
 
Hahaha eti climbing a tree kwenda wapi....kuzimu au?mti wenyewe mche,waone kwanza na miguo yao ya kijani!huyu lazima atakuwa mwandishi wa gazeti Uhuru gazeti la chama maana wao hawaangalii kichwani mtu ana nini ukitaka kuamini waangalie wabunge wao Lusinde na Mlinga utajua ninachokimaanisha.
 
Kaboronga kishenzi huyo mwandishi! Ametuaibisha sana.
 
Poor English from a Tanzanian reputable media...this is the most pathetic English ever....Najua hamjanielewa nlichosema hapo juuView attachment 736662....mtumie kiswahili tafadhali
Hatari,lugha ya watu,tunaikosea sana,
Lakini sisi watu weusi,kwanini tunajisikia vibaya,tunapokosea lugha ya Mkoroni?
Da mzungu alituaribu akili vibaya sana!!
Uwezi kuona Mrusi,Mchina,Mjapani Mkorea akishobokea lugha ya kigeni,yaani atumie nguvu nyingi ili mradi tu asikosee lugha ya kigeni!!,hilo kwao halipo,ni Africa tu,tena Africa ya weusi
 
Back
Top Bottom