RIP Brian Haw...the man stood up for something | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

RIP Brian Haw...the man stood up for something

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Game Theory, Jun 19, 2011.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
  Mnakumbuka hii thread in 2006?
  https://www.jamiiforums.com/jamii-intelligence/694-freedom-of-speech-in-tanzania.html

  Mnaweza kusema kuwa whats the significance na siasa za Tanzania? Ukweli ni kuwa this man stood up for something he believed in 2001 na aliweka kambi nje ya Bunge la UK pale WESTMINSTER Parliament Square na watawala wamejaribu kutumia sheria mbali mbali kumwondoa kwa kudai kuwa mabango yake ni eyesore, na anaitia aibu UK mbele ya ma torists na pia walijaribu kutumia Ati-Terror laws kumwondoa...Like Nelson Mandela, this man was prepared to sacrifice a family life for the greater good of the nation and the world. He was a selfless person and saw his mission to campaign against illegal wars and injustice lakini muhimu ni kuwa mpaka wanafunzi wa human rights laws na zinginezo wamefanya mitihani kutokana na hukumu zilizotolewa na zilizokuwa zinamhusu na more importantly ni kuwa serikali ya UK imeonyesha kuwa NO ONE IS ABOVE THE LAW na ndio maana alipewa nafasi ya kujitetea mbele ya sheria AMBAZO ZINAMLINDA kila raia regardless of class au uwezo wa pesa. More importantly Brian alikuwa anatetewa na top lawyers wa UK on probono basis, lakini bila kusahau kuwa sisi wengine tuliokuwa tukipita pale nje ya parliament square tulikuwa tunajiuliza, je sisi Tanzania tutapata kuwa sheria zinazoruhusu watu wa kawaida ku protest bila ya kubugudhiwa na vyombo vya dola?


  Ohh I forgot nothing can happen kwetu mpaka tubadili katiba ambayo itatupa fursa ya kuwa na akina Brian wa Tanzania na sheria zitakazotulinda. Lakini it also saddens me kuwa anti-terror law yetu ilipitishwa na wana JF badala ya kuichambua na kuifumua fumua tumeishia kwenye episodes za CCM vs CHADEMA how sad for what we've become  I congratulated him when he was alive in 2001 and I salute him in death.
   
 2. G

  Godwine JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2011
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  ok kila kitu kina sababu na kama ni kwa ajiri ya wanyonge nampongeza pia RIP
   
 3. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  since when Brian Haw became a celebrity?

  ama kweli invisible huwezekaniki!!
   
Loading...