King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 63,614
- 97,094
Anapenda MAKIKI kama Msanii.
paratroperFortunus buyobe acha kutumaliza maamae. Damu ulizomwaga zatosha. Tubu mtu wangu.
Maoni YaoNalijua haya yatatokea je hakuna njia ya kutrack hawa jamaa wakapatikana wakapatiwa adhabu ya Karne,tunajenga taifa kwa sifa nzuri fews destroy everything,waliochafua jina letu zuri wawajibishwe haraka sana.
Unamuuliza naniNalijua haya yatatokea je hakuna njia ya kutrack hawa jamaa wakapatikana wakapatiwa adhabu ya Karne,tunajenga taifa kwa sifa nzuri fews destroy everything,waliochafua jina letu zuri wawajibishwe haraka sana.
Mamlaka husika za kiulinzi wa taifa.Unamuuliza nani
Kwanini waende kwenye page ya MGENI wakachafue huko,kwanini tusijibizane sisi kwa sisi?Maoni Yao
Sio kila siku utasikia au kusoma kinachokufurahisha
utovu wa hali ya juu wa nidhamu
HahahJamaa anasukuma mpaka ushuzi!!! Halafu yupo ndami ya gari af gari imekewa mijiwe mbele na nyuma
Affff we Kipanya wewe!
Mama akikosa adabu tunaenda kumshtaki kwa mjombaKwanini waende kwenye page ya MGENI wakachafue huko,kwanini tusijibizane sisi kwa sisi?
Usiwapangie.Kwanini waende kwenye page ya MGENI wakachafue huko,kwanini tusijibizane sisi kwa sisi?
Ujibizane na nani we chawa ukiona watu hawajibizani na wewe wameshakuona mjinga mtu mwenye akili hawezi kuongea hivi we kichwani emptyKwanini waende kwenye page ya MGENI wakachafue huko,kwanini tusijibizane sisi kwa sisi?
Kweli mimi ni empty kabisa 😃Ujibizane na nani we chawa ukiona watu hawajibizani na wewe wameshakuona mjinga mtu mwenye akili hawezi kuongea hivi we kichwani empty