Ringia miguu yako myembamba dada yangu

Ringia miguu yako myembamba dada yangu

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,579
Reaction score
161,432
Wadada wengi wa Dsm (niliwaona nilipoendaga) hasa wale wenye miguu myembamba wanaogopa kuvaa nguo fupi. Wengi wao hawajiamini, na wanaume eti nasikia na wenyewe wanataka wanawake wenye miguu minene, kwa ki Mongolia inaitwa "miguu ya bia". Hatari sana Sheikh.

Tena siku hizi nasikia wanaume wengi wa huko Dar wanapenda sana kulelewa. Eti mali atafute mwanamke dume litumie tu, kule kwenye uzinduzi wa jengo la kwanza kuwa na lift wanasema "Fya deso"

Sasa jana nilikuwa naangalia michuano ya madola, kwa kweli wale wanawake wote waliobeba medali za riadha hakukuwa hata mmoja aliyekuwa na hiyo miguu ya chupa ya bia, wote mifupa yao ya miguuni haikuwa na nyama. (Kumbe miguu myembamba dili ehh)

Sasa wito kwa dada zangu wenye miguu yetu ileeeee, nawaombeni sana muanze kukimbia riadha, kwa kweli naona neema kubwa mbele yenu, ushindi utakapopatikana, ni utajiri umeingia malangoni mwako.

Hapo ndio utawaona mabitozi wakianza kukusarandia na nguo zao za kuazima
 
sasa mguu tiari mwembamba na kigimbi juu????..,mbona hutakii mabinti wa watu mema lkn
 
wanasema mwanamke guu, wengi wanaitamani ila ndio vile tena
 
Hahahahaaa.....kitu kujikubali bhana ili mradi upendeze tu atayekaa kuangalia miguu ana lake jambo...team chelewa msiogope kuvaa vimini mbona mama ubaya miguu myembamba na anapiga vimini.
 
hahahahhahaha..........................
spoko enh!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom