Rihanna is pregnant and Chris is responsible.

Sikonge

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2008
Posts
11,635
Reaction score
6,235
Recent news reveal that Rihanna has been admitted to hospital after feeling dizzy and colarpsing.....medical diagnosis proved that she is now one month pregnant and Chris is responsible for her pregnancy..

Rihanna Nanjala is a housegal in Runda estate, Nairobi and it is said she was having an affair with her boss Chris Otieno for years!

#WhoFellForThis???

Nyongeza: Hivi leo ni siku ya Wajinga? Mie pia nimeokotwa huko Facebook. Kifo cha wengi, harusi.
 
Huyu Chris Brown anatoka wapi tena? Si wameachana na Rihanna? Hebu soma tena: Rihanna Nanjala is a housegal in Runda estate, Nairobi and it is said she was having an affair with her boss Chris Otieno for years!
mkuu, they are both responsile for the pregnancy, not only Chris Brown

tubadilike na tuwaheshimu wanawake kwa kuwapa haki na majukumu sawa
 
Huyu Chris Brown anatoka wapi tena? Si wameachana na Rihanna? Hebu soma tena: Rihanna Nanjala is a housegal in Runda estate, Nairobi and it is said she was having an affair with her boss Chris Otieno for years!

hahahaaa, i Delete brown and the statement is still valid
:A S 39:
 
Last edited by a moderator:
Nakubaliana na Timing; wote wako responsible.

Hii tabia ya kuwaonea wanaume kila inapotokea kuwa mwanamke ni mja mzito nje ya ndoa inabidi ikomeshwe. Najua kuwa Tanzania sasa hivi kuna chama cha kutetea haki za wanaume, nadhani chama hicho kitasaidia kuzuia wanaume kuwa wanatupiwa zigo lote la mimba ilihali inawahusu wote mwanamke na mwanamme!
 
Recent news reveal that Rihanna has been admitted to hospital after feeling dizzy and colarpsing.....medical diagnosis proved that she is now one month pregnant and Chris is responsible for her pregnancy..

Rihanna Nanjala is a housegal in Runda estate, Nairobi and it is said she was having an affair with her boss Chris Otieno for years!

#WhoFellForThis???

Nyongeza: Hivi leo ni siku ya Wajinga? Mie pia nimeokotwa huko Facebook. Kifo cha wengi, harusi.

The story is okay but the intent was pathetic
 
Kichuguu,

Unayosema ni kweli kabisa ila kwanza lengo la huu ujumbe ni kushtua kidogo kwani watu wengi wanaingia kwa kudhani ni Mwanamuziki Rihanna na Chris Brown na kumbe ni Wakenya fulani hivi huko Nairobi au wala hakuna watu kama hao.

Ukija kwenye Swala la kuwaonea wanaume, nafikiri hili linaenda zaidi na ule msemo kuwa "Mama anajua Mzazi halisi wa Mtoto ila Baba hana uhakika siku zote, labda apime DNA." Hata hivyo, wanaweza kumbadilishia mtoto hasa Hospital ila hiyo ni kesi nyingine.
Mara nyingi akina mama wamekuwa pia wanaachiwa mzigo wa kutunza Mimba na kutunza mtoto wakati huo Wanaume wakiwa kwenye furaha wakiimba wimbo wa Michael Jackson "but the child is not my Son" au Shaggy wa "it wasn't me."
Ila nakubaliana na nyie kuwa kwenye Mimba ni kama uchezaji wa Tango na wakati mwingine unaweza kukuta ni Mwanamke ndiyo aling'ang'aniza kama Mke wa Farao na Yusufu kwenye Biblia.

Back
Top Bottom