92 jerrie
JF-Expert Member
- Feb 28, 2022
- 7,424
- 17,069
mh watanzania tunajua sana kujaji vitu kwavile hatukubahatika kuwa kwenye hizo nafasi naamini humu hamna ambaye hapendi kuwa billionaire ila kwavile ridhuani amekua bas mtatafuta hadi mambo msiyo yajua kila mtu ana njia yake ya kupata utajiri iwe halali au si halali cha msingi ashatoboa maisha sisi wa kando ni kujifunza na kutoa pongezi. over