Wonderful
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 7,347
- 6,000
Itakua vyuma chakavu tu lazima,si unaona scrapper hapo??itakua vile vyuma chakavu vya Dar anapelekewaga yeye tu lazima.Skyscrapper maana yake nin mtoa uzi?
Itakua vyuma chakavu tu lazima,si unaona scrapper hapo??itakua vile vyuma chakavu vya Dar anapelekewaga yeye tu lazima.Skyscrapper maana yake nin mtoa uzi?
Huyu ni mdau mkubwa wa Dau, jamaa aliyekuwa NSSF.Mringo is our modern day case study that demonstrates its possible to come from ordinary background and still get rich in Tanzania...
This guy started from bottom few years ago but now he owns couple of skyscrapper in Dar.. In the past five or six years, he has made a number of contribution that affect Tanzania as a country positively...
Apart from helping in changing the face of the city with ultramodern structures, his company Derm Electrics has done much in rurar electrification as well as providing jobs.
Different from many billionaires, he is very keen of supporting local economy because he buys alot domestically rather than importing what is available in the domestic market.
The guy is very discreet and media shy, that is why he has latgely remained annonimous...
Na hizo nyingine zinaitwa subtopic... Na ndio uone tofauti ya kumpa kandarasi mzawa na mgeni! Wachina waliochuma pesa za NSSF wamezipeleka kwao. Huyu mzawa amewekeza hapa hapa nchini which is beneficial to our economy...Kwani Ndugu hii thread inahusu wa china au Mringo?ulitaka tutoke nje ya mada tuzungumzie wachina?leta thread ya wachina,tutaanza tutawajadili huko...by the way hakuna anaemuonea wivu,unaanzaje kumuona wivu mtu ambae ni rahisi kwa ngamia kupita kwenye tundu la sindano kuliko yy kuiona heaven...
Huu utajiri wa mali tutauacha hapa hapa...6 feet below huendi ht na senti 5
Haya ni majengo marefu sana...Skyscrapper maana yake nin mtoa uzi?
Asante mkubwaHaya ni majengo marefu sana...
Huyu sio tu kachuma huyu katuibia sana kuliko kawaida....mfumo umemlinda sana...kwaio km unataka subtopic tujadili pia alivyotuibia pale udom na magenerator yake na ktk miradi ya NSSFNa hizo nyingine zinaitwa subtopic... Na ndio uone tofauti ya kumpa kandarasi mzawa na mgeni! Wachina waliochuma pesa za NSSF wamezipeleka kwao. Huyu mzawa amewekeza hapa hapa nchini which is beneficial to our economy...
Haya ni majengo marefu sana...
Utajuaje km alienda shulehivi mkiandikaga kiswahili mnapungukiwa nini? aarrrghhi!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuuu umesahau....tupo kwenye kampen za ubunge wa Africa mashariki..........muongozaji, muulizaji na muulizwaji woooooteeeeee......za fanana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] afu mijadara ya ni lugha gani itumike kufundishia wao ndo wa kwanza kiswahiliiiii...........................CALL ME Jhivi mkiandikaga kiswahili mnapungukiwa nini? aarrrghhi!
Wivu..............Kwani Ndugu hii thread inahusu wa china au Mringo?ulitaka tutoke nje ya mada tuzungumzie wachina?leta thread ya wachina,tutaanza tutawajadili huko...by the way hakuna anaemuonea wivu,unaanzaje kumuona wivu mtu ambae ni rahisi kwa ngamia kupita kwenye tundu la sindano kuliko yy kuiona heaven...
Huu utajiri wa mali tutauacha hapa hapa...6 feet below huendi ht na senti 5
Duh! Vyuma chakavu tena mkuu? Ni magorofa marefu mkuuItakua vyuma chakavu tu lazima,si unaona scrapper hapo??itakua vile vyuma chakavu vya Dar anapelekewaga yeye tu lazima.
Utajuaje anajua kidhungu[emoji38]hivi mkiandikaga kiswahili mnapungukiwa nini? aarrrghhi!
Inasemekana jamaa wa nssf ni shemeji wake.Huyu ni mdau mkubwa wa Dau, jamaa aliyekuwa NSSF.