Ridhuani Mringo: Another billionaire entrepreneur to watch!

Mringo is our modern day case study that demonstrates its possible to come from ordinary background and still get rich in Tanzania...
This guy started from bottom few years ago but now he owns couple of skyscraper in Dar.. In the past five or six years, he has made a number of contribution that affect Tanzania as a country positively...
Apart from helping in changing the face of the city with ultramodern structures, his company Derm Electrics has done much in rural electrification as well as providing jobs.
Different from many billionaires, he is very keen of supporting local economy because he buys a lot domestically rather than importing what is available in the domestic market.
The guy is very discreet and media shy, that is why he has largely remained anonymous...

Hana lolote hizo hela waliiba na dau Nssf
Na dau ni mmbia akiwemo msemo
 
Kuna mtu amesema vzr hapo juu kuwa amenufaika na MFUMO. Kutoka bila kushikwa mkono TZ labda uwe unafanya kilimo.... hao jamaa kila tenda wao atakosa kutoka na si kama hakuna kampuni zingine hapana.... wapo na wana qualify lkn huwezi shindana na Derm kwenye Tenda...

Labda utueleze mbinu anazotumia kupata Tenda maana hapo sasa utakuwa umekwamua maengeneer wenye kampuni zao wanaohitaji kazi na hawapati na uwezo wanao.
 
Wabongo mna mtimanyongo sana! Mbona hamzungumzii Wachina walionufaika na miradi ya NSSF? Kwa vile Mringo ni mbantu ndio maana mnamuonea wivu.. Kina CRJE and the like made money ten times than Mringo but hamuwaongelei kwa ubaya.. Kwa wachina mnaona ilikuwa haki yao kutengeneza pesa kwa vile ni ngozi nyeupe ila kwa kuwa Mringo ni ngozi nyeusi basi hana haki ya kutengeneza pesa tena kwenye nchi yake! This is absurd!
Aonewe wivu anajulikana na nani? ni dhahiri kwamba unamfahamu mwenyewe, unaulizwa toa historia yake ameanzaje anzaje unasema engineer sijui 5 years back or 6 years back utajiri wa kiTanzania una magumashi magumashi na hua hauelezeki moja kwa moja yani hua hauna tofauti na elimu ya bashite
 
Mringo is our modern day case study that demonstrates its possible to come from ordinary background and still get rich in Tanzania...
This guy started from bottom few years ago but now he owns couple of skyscraper in Dar.. In the past five or six years, he has made a number of contribution that affect Tanzania as a country positively...
Apart from helping in changing the face of the city with ultramodern structures, his company Derm Electrics has done much in rural electrification as well as providing jobs.
Different from many billionaires, he is very keen of supporting local economy because he buys a lot domestically rather than importing what is available in the domestic market.
The guy is very discreet and media shy, that is why he has largely remained anonymous...
Huyu katajirishwa na ufisadi wa dr dau pale nssf akishirikiana na ndugu zake pale nssf na kuna tetesi kuwa dr dau ni mbia wake
 
hata ungekuwa wewe kila tenda unapewa na dau.. kwa nini usitoke..

matajiri wa ukweli wapo majuu tu kina bill gates na windows zao ambazo hadi sisi tunazitumia kwenye pc zetu.. au kina zuckerberg na instagram zao na facebook hadi kina mange na diamond wanabishania...

sio utajiri wa kupewa tenda na shemeji yako..
 
Wabongo mna mtimanyongo sana! Mbona hamzungumzii Wachina walionufaika na miradi ya NSSF? Kwa vile Mringo ni mbantu ndio maana mnamuonea wivu.. Kina CRJE and the like made money ten times than Mringo but hamuwaongelei kwa ubaya.. Kwa wachina mnaona ilikuwa haki yao kutengeneza pesa kwa vile ni ngozi nyeupe ila kwa kuwa Mringo ni ngozi nyeusi basi hana haki ya kutengeneza pesa tena kwenye nchi yake! This is absurd!
Usitake watu watoe nyongo na ule mradi wa NSSF mwanza jinsi alivyopiga tukianza kufunguka juu yake nazan kesho utamkuta maskini pia yeye ni kivuli tu mwenye ka kampuni ni mjomba wake anaitwa DERUA MRINGOA sasa we endelea kama hajamalizwa
 
Kuna mtu amesema vzr hapo juu kuwa amenufaika na MFUMO. Kutoka bila kushikwa mkono TZ labda uwe unafanya kilimo.... hao jamaa kila tenda wao atakosa kutoka na si kama hakuna kampuni zingine hapana.... wapo na wana qualify lkn huwezi shindana na Derm kwenye Tenda...

Labda utueleze mbinu anazotumia kupata Tenda maana hapo sasa utakuwa umekwamua maengeneer wenye kampuni zao wanaohitaji kazi na hawapati na uwezo wanao.
Alikua anakula na mabosi flani ndo wakawa wanampa michongo nmewai fanya research flani juu yao so nawajua kimtindo
 
weka picha ya hayo majengo yake tuyaone
C yale pale makumbusho zilipo ofisi za tigo na lile jingine linalomaliziwa. Kaka yake ndo yule aliekua diwani wa kimara alipiga mpunga kwe mradi flani wa maji anaitwa mahmood na wana mdogo wao ni lawyer anaitwa Rasquiner yupo pale pale kwe jengo la braza wake.
 
makumbusho ndio wapi mkuu wengine huko dar tunakusikia redioni tuko Songea huku tunajiandaa kupalilia mashamba
 
mabilionea wengi wa Tanzania vijana, haswa hawa waliofaidi utawala wa JK wengi ni dizaini ya Clouds Media....yaani uuzaji sembe kwa wingi na figisufigisu za hajabu pamoja na umwagaji damu kwa wenzao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom