And me want ask a question of the same and you but you early me do before. Court of which a case win he Riziwani? no where i heared of winning just stand to defend a thieves of chicken.....a advocate? of where?
kweli hii lugha ngumu hivi?
Wacha kua na akili za kibumunda wewe,unaye mwona mwenye majungu nani hapa?ww ndio unamshobokea huyo Riziwani,waliosoma nae darasa moja UD wanakwambia kilaza,wewe ooohh kasoma kwa juhudi,kuliko nani?Tatizo watz majungu,fitna,wivu na umasikin wa kufikir.alisoma kwa juhud leo kapata mnaleta maneno.tubadirike
And me want ask a question of the same and you but you early me do before. Court of which a case win he Riziwani? no where i heared of winning just stand to defend a thieves of chicken.....a advocate? of where?
Wakili Msomi Ridhiwani Kikwete ame-practice katika Mahakama gani Tanzania? Kesi ipi hasa?
Nimeipenda hii lugha ya malaika iliyotumika hapa
usichokijua usiandike,tenda na ujenz wa ile road,tht tym nipo pale matemanga kikaz tulikuwa na wahusika.dont polute guy.
U Queen's Council haugawiwi kama kondom kwenye gesti wwewe. hutoi rushwa au kuupata kwa sababu u mtoto au shemeji ya fulani. you must have a head with working grey matter inside.
Here we go again!! Kujuma abantu bila sababu za msingi, una ushahidi gani kwamba Kikwete Jr gotta no them sharp brains?
Tatizo watz majungu,fitna,wivu na umasikin wa kufikir.alisoma kwa juhud leo kapata mnaleta maneno.tubadirike
Mkuu Petro E. Mselewa, kuwa wakili, sio lazima usimamie kesi mahakamani!. Labda kwa taarifa tuu, kuna mawakili wanao simamia kesi mbalimbali, hawa wanaitwa wanafanya kazi za "litigations", na mawakili wengine wanatoa "legal opinions". Hao mawakili wa litigations ndio hao mnawasikia kila siku wakikimbizana na vi kesi kesi mahakamani, na ndio least paid!. Mawakili wa "legal opinions" huwezi kuwasikia, ila utawatambua tuu kwa mashine zao mabarabarani, posh ofices zao na mahekalu yao!.
The richest law firm in Tanzania, used to be Mkono & Co, na wakili tajiri kuliko wote Tanzania ni Nimrod Mkono!, niambieni ni kesi gani mlimsikia ameshinda?!. Real money lies kwenye "legal opinion" na sio kwenye "litigations!"
Just imagine wakili aliyesimamia mkataba wa bomba la gesi la deal ya dola bilioni 1.2, lets say legal fee yake ni just 01.%, atavuna dola milioni 1.2 in just one single transaction!, atakuwa wapi?!.
Natoa wito kwa wana jf, tupunguze wifu wa kike!, sasa inaonekana kama obsession fulani kuwaonea wivu wale wenye nacho hivyo kukesha kuwasema vibaya hadi kwa wengine kuonekana kama chuki binafsi!.
Just do all you can to "get rich!, or die trying!".
Pasco.
you laugh and me? and what of the because? the english using of me laugh of it?Tumecheka sana hapa ofisini kwa comment ya Mtego wa Noti