Ridhiwani Kikwete Ndani ya MAGU,

Ridhiwani Kikwete Ndani ya MAGU,

Samahani mwalimu,.... je hizo hela mntoa nyinyi? Kama hamtoi nyiyni, we usiwe na wasiwasi pokea msaada huo. Nadhani hilo ndio lilikuwaq lengo lenu la kumualika.
 
Walijadili kwa muda mrefu kuhusu ni nani anapenda sifa ili waweze kumvuna kwa ajili ya shule!! Kwani ukiangalia mwanza pale, CDM wamekaba hadi penati viongozi hawana pakuiba ili kujizolea misifa ya kwenye graduation! ndo wakampata Riz1.

Heko mwalimu kwa kufanikisha hilo la tank!!
 
Mwl Bwana, Nyie Chukueni Tanki hilo thamani haina issue, au na wewe unataka kuchangia lako?
 
Omba omba hatakiwi kuwa mchaguzi (beggaers should not be choosers).
 
wamepata usijali thamanki lamsingi tank lije? Pia rithione hana kazi hizo m anazipata wapi au ni kodi za wabongo?. kama ndiyo wabongo ndo tumrechangia hiyo shule
 
5m must be including plumping work such as strong GS pipes for riser, inlet and outlet pipes including non return valve. unles mna riser iliyojengwa tayari

mi nilinunua 2m 2008, kama anainclude na hz hbr habari inatosha na kuzidi.
Ila ata nyie mnarithika,kwa tank.mi naona bora angelichangia walau hata chumba kimoja,
m'na hizo hela zenyewe za kwetu za kodi.
 
This is too much everything and everywhere jk family members, dont we have role models for that sake? We are fade up with this shows what we want is good life for all Tzanians.
 
Wana JF Bwana yesu awe. Pamoja nanyi na kwa waislamu Asalama aleko.

Leo hapa kwetu magu kuna sherehe ktk sekondari ya wahitimu wa kidato cha NNE wana habari na wakazi wengi wa mwanza wamekuja kumuunga mkono mtoto wa rais ktk hafla hii.

Lililo nisukuma ni jambo moja baada ya hotuba bwana ridhwani ametoa ahadi ya kusaidia shule hii TANKI la SIMTANK la lita 10,000 ambalo amedai lina thamani ya Tsh 5,000,000. Baada ya kauli hiyi Mjadala ukaanza hapa miongoni mwa watu. Tuliohudhuria kuwa je Tanki hilo linathamani hiyo?

Sisi huku magu hamna matanki yanamna hiyo nikaamua kuleta huu Mjadala Mtusaidie kufahamu thamani halisi ya TANKI hilo la Maji kwani sisi waalimu hatufahamu bei ya Kitu hicho kwakua sijawahi kuwaza kununua Tanki la Namna hiyo.

Tunaomba mtu saidie isije ikawa tunapigwa Changa la Macho.
r u serious?
 
Sasa na nyie walimu na uongozi mzima wa hiyo shule, mmemwalika Riz 1 kama nani nji hii. Mmekosa viongozi wa serikali kweli?? Mngemwalika hata mtendaji wa kata basi.

Nyie subirini hilo tank la maji hata kama atapewa bure au atachukua pale nyumbani kwao nyie subirini tank.

kipengele gani ktk katba kinamzuia kualikwa kama mgeni rasmi, mbona Mengi huwa anaalikwa hamsemi?!. Acha wivu.
 
Yaani amefika na huko...! Kuna ardhi inauzwa au kamgodi kapya kamepatikana huko?? Waambieni wenyeji wawe makini mkilala tu imekula kwenu.
 
Bei ya Tank wewe inakuhusu nini!. Watanzania tuna matatizo kweli.
 
huyu Ridhiwani tumemshiba sana UVCCM. Sasa ameanza mashambulizi dhidi ya January Makamba na dada yake mwamvita

Patakuwa patamu sana kama January na Dada yake (Mwamvita) wataamua kuingia ulingoni na kurusha mashambulizi makali dhidi ya Ridhwan...na labda Mzee wao naye anaweza kuamua naye kuanza mashambulizi.
 
Nchi yetu viongozi Wasanii, watoto wao nao Wasanii.
 
Binadam mwenye kichwa cheusi ni mzigo sana!!mnapewa msaada mnaanza kuhoji et ni kweli una thamani hiyo??kweli duniani apa,tembea uyaone ya walimwengu...
 
Wana JF Bwana yesu awe. Pamoja nanyi na kwa waislamu Asalama aleko.

Leo hapa kwetu magu kuna sherehe ktk sekondari ya wahitimu wa kidato cha NNE wana habari na wakazi wengi wa mwanza wamekuja kumuunga mkono mtoto wa rais ktk hafla hii.

Lililo nisukuma ni jambo moja baada ya hotuba bwana ridhwani ametoa ahadi ya kusaidia shule hii TANKI la SIMTANK la lita 10,000 ambalo amedai lina thamani ya Tsh 5,000,000. Baada ya kauli hiyi Mjadala ukaanza hapa miongoni mwa watu. Tuliohudhuria kuwa je Tanki hilo linathamani hiyo?

Sisi huku magu hamna matanki yanamna hiyo nikaamua kuleta huu Mjadala Mtusaidie kufahamu thamani halisi ya TANKI hilo la Maji kwani sisi waalimu hatufahamu bei ya Kitu hicho kwakua sijawahi kuwaza kununua Tanki la Namna hiyo.

Tunaomba mtu saidie isije ikawa tunapigwa Changa la Macho.

Kwani mmechangishwa shilingi ngapi kulinunua hadi ushitushwe na bei yake?
Ombeni lifike maana wana ahadi za ma 'trilion ya dola' kwa watanzania.
 
Riz 1 bana au amekuja kutafuta mke huko?

Kwani hajaoa?
Mwambieni aende Bariadi kule kwa Mzee wa vijisenti atapata mke saafi wa Kinyantuzu!
Msishangae Tanki la 10,000 Lts kugharimu bei hiyo ya 5m! Hizo ndo bei za Mafisadi wa Chama Cha Magamba.
 
Back
Top Bottom