MVUA GAMBA
Senior Member
- Apr 13, 2011
- 102
- 63
Wana JF Bwana yesu awe. Pamoja nanyi na kwa waislamu Asalama aleko.
Leo hapa kwetu magu kuna sherehe ktk sekondari ya wahitimu wa kidato cha NNE wana habari na wakazi wengi wa mwanza wamekuja kumuunga mkono mtoto wa rais ktk hafla hii.
Lililo nisukuma ni jambo moja baada ya hotuba bwana ridhwani ametoa ahadi ya kusaidia shule hii TANKI la SIMTANK la lita 10,000 ambalo amedai lina thamani ya Tsh 5,000,000. Baada ya kauli hiyi Mjadala ukaanza hapa miongoni mwa watu. Tuliohudhuria kuwa je Tanki hilo linathamani hiyo?
Sisi huku magu hamna matanki yanamna hiyo nikaamua kuleta huu Mjadala Mtusaidie kufahamu thamani halisi ya TANKI hilo la Maji kwani sisi waalimu hatufahamu bei ya Kitu hicho kwakua sijawahi kuwaza kununua Tanki la Namna hiyo.
Tunaomba mtu saidie isije ikawa tunapigwa Changa la Macho.

Samahani mwalimu,
Nyie mnataka tanki au mnataka hela mkanunue wenyewe? Kwanza yy kaahidi kuwa atawapa tanki kwa hela zake, sasa kama amezidisha thamani nyie mnaumia nini?
huh so ufisadi kila kona....................kweli haponi mtu.Ndani ya vikao vyao vya chama hiyo ndiyo bei inayotumika.
Samahani mwalimu,
Nyie mnataka tanki au mnataka hela mkanunue wenyewe? Kwanza yy kaahidi kuwa atawapa tanki kwa hela zake, sasa kama amezidisha thamani nyie mnaumia nini?
Wana JF Bwana yesu awe. Pamoja nanyi na kwa waislamu Asalama aleko.
Leo hapa kwetu magu kuna sherehe ktk sekondari ya wahitimu wa kidato cha NNE wana habari na wakazi wengi wa mwanza wamekuja kumuunga mkono mtoto wa rais ktk hafla hii.
Lililo nisukuma ni jambo moja baada ya hotuba bwana ridhwani ametoa ahadi ya kusaidia shule hii TANKI la SIMTANK la lita 10,000 ambalo amedai lina thamani ya Tsh 5,000,000. Baada ya kauli hiyi Mjadala ukaanza hapa miongoni mwa watu. Tuliohudhuria kuwa je Tanki hilo linathamani hiyo?
Sisi huku magu hamna matanki yanamna hiyo nikaamua kuleta huu Mjadala Mtusaidie kufahamu thamani halisi ya TANKI hilo la Maji kwani sisi waalimu hatufahamu bei ya Kitu hicho kwakua sijawahi kuwaza kununua Tanki la Namna hiyo.
Tunaomba mtu saidie isije ikawa tunapigwa Changa la Macho.
Baba yake alishasema..."Mkitaka kula lazima mliwe kwanza" hivyo basi kaeni mkao wa kuliwa kwanza wana Magu
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahuyu ridhiwani tumemshiba sana uvccm. Sasa ameanza mashambulizi dhidi ya january makamba na dada yake mwamvita