Ridhiwani Kikwete: Mpaka sasa Jimbo limepata Ambulance tatu

Kaleta yy au kaenda kuomba.. Kwan huoni mzigo hapo juu una logo ya koica ... Au pia hujui koica ni nn... Kile kichwa chetu kiliingiza bila promo za koica wala usaid
Kama ni hivyo mbona kuna wabunge wana miaka mingi bungeni wanashindwa vipi nao kuomba..!?
 
Kumbe adha kubwa ya Wananchi wa Chalinze, Miono mpaka Bagamoyo ni ambulances ???
 
Tangu awe mbunge ni ambulance tu,kutahamaki miaka 5 imeisha,wajinga ndo .......
 
Na Mengi aliyewapa madawati yote hayo mbona hukumtaja?
Acha sifa za kijinga. Fanya mambo.
Unda chama cha maendeleo cha jimbo, ingiza fedha za jimbo, itisha mikutano na wanachalinze wachangie muiondoe chalinze kwenye huu umaskini uliokithiri.
Vijana wenu akipata bodaboda mnaona katoka kimaisha !!!
Ambulance 3 tena za kupewa !!
 
Back
Top Bottom