Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,266
Toka Januari 2016 mpaka sasa Juni 2016 jimbo limepata Ambulance tatu msaada mkubwa kwa wagonjwa na majeruhi wa ajali.
Akizungumza na wananchi wa Jimboni kwake alisema, leo tarehe 24 juni 2016 nimekabidhi magari mawili ya wagonjwa (Ambulance) kwa wananchi wenzangu wa halmashauri wanaoishi katika mji wa Chalinze na Miono.
Kazi zinaendelea kuleta maendeleo katika nchi yetu.. kaziiendelee.
Chanzo ridhiwani