Ridhiwani Kikwete aundiwa zengwe

Ridhiwani Kikwete aundiwa zengwe

iron finger

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2011
Posts
358
Reaction score
221
mtoto wa rais bwana riz ameundiwa zengwe na baadhi ya wenzie ndani ya uvccm nimpeta tetesi kuwa walio ndani ya mpango huo ni bwana bashe,fred,malisa na wengineo source TANURU LA FIKRA
 
Wamemwundia zengwe gani?Si nasikia wanaifuta uvccm kwa muda?
 
mtoto wa rais bwana riz ameundiwa zengwe na baadhi ya wenzie ndani ya uvccm nimpeta tetesi kuwa walio ndani ya mpango huo ni bwana bashe,fred,malisa na wengineo source TANURU LA FIKRA

Mbona hueleweki, unaongea kama baamedi anayehaha kupata mteja wa kumtuliza siku hiyo?
 
mtoto wa rais bwana riz ameundiwa zengwe na baadhi ya wenzie ndani ya uvccm nimpeta tetesi kuwa walio ndani ya mpango huo ni bwana bashe,fred,malisa na wengineo source TANURU LA FIKRA

uvccm hawan aubavu wa kumundia riz1 zengwe.
 
Wanajisumbua na vinara wao watavuliwa tu hilo gamba, hata kwa maji ya moto.
 
Rz1 ni rais msaidizi, nani ana ubavu UVCCM kumuundia zengwe? Hata wakiunda zengwe utekelezaji wataufanyia Kenya au Tz?
 
mtoto wa rais bwana riz ameundiwa zengwe na baadhi ya wenzie ndani ya uvccm nimpeta tetesi kuwa walio ndani ya mpango huo ni bwana bashe,fred,malisa na wengineo source TANURU LA FIKRA
.........like father, like son, kama ilivyo kwa baba kwamba ni rais wa wazee, ndivyo ilivyo kwa mtoto kuwa ni rais wa vijana, kama ni zengwe yeye ndiye wa kuunda, na si ajabu ndo hilo la kuvunjwa kwa muda UVCCM
 
Why wasting time?Hivi mnamjadili Riz kama mtoto wa Rais au kiongozi?WEKENI MADA ZA KUJENGA MSIMPE UMAARUFU WA KIJINGA NAMNA HIYO.waachieni wana CCMwenyewe waendele kumwabudu.Enzi zzzza nyerere hatukufanya hivyo.Akina makongoro hawakutusumbua kabisa
 
Mimi nashangaa 2namdiscuss Riz1 kama nani, 2achane nae hana maana kwa taifa
 
Mtoa mada ni mbea.
Topic imekaa kimbea mbea.
Wapeleke wambea wenzako sio hapa Jf.
 
iron finger hivi yale matatizo yako uliyoyaeleza kule jukwaa la afya umefanikiwa?
 
Atupishe nae huyu Riz1 asinichefue roho nimeshiba ugali wangu na dagaa wakigoma asinitapishe mie.
 
Back
Top Bottom