Ridhiwani Kikwete ampigia Membe kampeni bungeni

Ridhiwani Kikwete ampigia Membe kampeni bungeni

Dah! Kwa hiyo unataka mtu wa kununa na visirani kama Lowasa?
siamini Lizaboni umetoka kwa Lowassa lini tena
au kwa vile kuna makongoro na Mwigulu?
tupe msimamo wako kabla ya hujachukua fomu Mkuu Lizaboni

 
Kila mtu anahaki ya kumpigia kampeni na kumchagua anayemtaka regardless ya nafasi au wadhifa wake
 
Membe yupo Bungeni anaongea vizuri saana anatoa vijembe naye anapewa live ya ARK kesho na wazenji
 
Mmmh ukawa wanasoma mchezo, wakishaujua ndipo waanze mashambulizi...ninahitaji mabadiliko, nikiona kijani mmh siku inaharibika...jamani tuwaunge mkono ukawa
 
Hivi makinda anautaka urais serious au twamsingizia! Siamini jamani...mbona bunge kwake mzigo nchi ataiweza!!!!
 
Jamani.kucheka ndio dalili ya kuwa na akili nyingi .ukiona mtu anacheka cheka sana ujue ana akili sana kwani anaweza kutafsiri na kujua maana ya matukio na maelezo katika mijadala na hotuba.
 
Kwa utitiri huu wa watangaza nia kutoka chama tawala,nahisi kuna watakaopoteza uhai pindi maamuzi magumu yatakapofanywa dhidi yao,ni vyema wakatafakari kauli ya mwenyekiti wao aliyoitoa juzi.
 
Bunge la leo limetawaliwa na vihoja vya hapa na pale wakati wa mjadala.

Wakati Benard Membe akiwasilisha hotuba yake ya bajeti ya wizara ya mambo ya nje alimpongeza Lowassa kama mwenyekiti wa kamati ili kupima upepo na ndipo yakasikika makofi na vigelegele kutoka kwa baadhi ya wabunge.

Hali iliendelea kuwa ya kikampeni zaidi katika mjadala. Huku wabunge wengine akionekana kumwambia Membe 'Mungu akutangulie katika safari yako'

Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete alionyesha dhahiri kuwa anamuunga mkono Membe kwani wakati wa kuchangia bajeti hiyo alimueleza kuwa yupo upande wake na anamuombea Mungu amtangulie katika safari yake.

Vimbwenga vinaendelea na muda huu ni kampeni kwa kwenda mbele huku nje!

Lowassa na team yake hawaonekani hapa!

Kigwangala anagawa vitabu vyake huku akihaha kila kona.

Mwigulu anajichomeka penye kila mkusanyiko wa wabunge na ni kampeni kwa kwenda mbele!

Baada ya kumpata mmoja mtakuwa na kazi sana ya kuwekana sawa maana ni uhasama . Kwa Riz kusema hadharani vile bila uoga anajua kabisa Lowasa is out .That is what I can predict .
 
Acha chama cha majambazi waendelee kuchambana
 
Kwa waliomsikikiza Membe leo he is fit upstairs you can't compare him with El
 
Kwan membe ndio nan? Mpaka mumtataje humu jf? Zungumzie mabadiliko toka lini mtu akajikata mwenyewe kchwa nakujiita shujaa?
 
Kwan membe ndio nan? Mpaka mumtataje humu jf? Zungumzieni hayo mabadiliko toka lini mtu akajikata mwenyewe kchwa nakujiita shujaa?
 
Back
Top Bottom