cLizi anasapotti Team membe coz anajua Lowasa lazima awabureze mahakamani
Tukijiweka kwa membe warhahiii tutajuta kuliko kwa Prf Dct,,wote hawa ni same dady same DNA
..........ndiyo kwa upande moja kwa sababu kuchekacheka ni dalili ya udhaifuuna matatizo wewe, siyo bure, mtu kucheka anakosa sifa ya kuwa rais?
hivi lizaiboni uko team ipi maana kwa lowasa haupo kwa membe haupooo
Haah haah daah nyie si wote buku 7 lakini.c.c LizaboniYuko kwa mlevi mwenzake Makongoro Nyerere
Ati Membe awe Rais wa Tanzania! Haki ya nani Watanzania tutakuwa tumelaaniwa
Nyie mnahangaika ti!! Rais ajae katulia zake kimyaaaa! Na si mwingine bali ni±--------------Ma ka mbaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!
UKAWA mtausikia Urais kwenye bomba tu
Yaani Membe hafai kabisa siyo mtendaji kabisa hana vision kabisa,hafai yaani huyu nasali kila dakika asiwe RaisiAti Membe awe Rais wa Tanzania! Haki ya nani Watanzania tutakuwa tumelaaniwa