Duu,mkuu kwa lowassa hauko,ukawa hauko na kwa membe kumbe hauko,sasa uko wapi?Ati Membe awe Rais wa Tanzania! Haki ya nani Watanzania tutakuwa tumelaaniwa
Duu,mkuu kwa lowassa hauko,ukawa hauko na kwa membe kumbe hauko,sasa uko wapi?Ati Membe awe Rais wa Tanzania! Haki ya nani Watanzania tutakuwa tumelaaniwa
Pinda hauzikiAti Membe awe Rais wa Tanzania! Haki ya nani Watanzania tutakuwa tumelaaniwa
Magamba yanaruka na kukanyaganaWacha warukeruke lakini Rais atatoka UKAWA.
Lowassa na Membe naweza kumchagua Lowassa cos nimechoka na jinamizi la marais wanaochekacheka
UKAWA mtausikia Urais kwenye bomba tu
Wacha warukeruke lakini Rais atatoka UKAWA.
Ati Membe awe Rais wa Tanzania! Haki ya nani Watanzania tutakuwa tumelaaniwa
Ati Membe awe Rais wa Tanzania! Haki ya nani Watanzania tutakuwa tumelaaniwa
lakini wengi tu wametakiwa kila la heri bungeni leo, ridhiwani pekee.
Duu,mkuu kwa lowassa hauko,ukawa hauko na kwa membe kumbe hauko,sasa uko wapi?
yelee uuuuuuuwii astaghafirullah na mungu aepushe mbali!! taifa hili lisiingie mikonon kwa mgosi mgosingwa kupenda napenda ukinipa natenda nikitenda umekwenda YESU WANGU UKUNDA KUTUGEE GEE NUKS HANGI MBAI TUKUTENDE ZEZE N'ZEE NKUTOE VIBAONyie mnahangaika ti!! Rais ajae katulia zake kimyaaaa! Na si mwingine bali ni±--------------Ma ka mbaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!
UKAWA mtausikia Urais kwenye bomba tu
UKAWA mtausikia Urais kwenye bomba tu
Bunge la leo limetawaliwa na vihoja vya hapa na pale wakati wa mjadala.
Wakati Benard Membe akiwasilisha hotuba yake ya bajeti ya wizara ya mambo ya nje alimpongeza Lowassa kama mwenyekiti wa kamati ili kupima upepo na ndipo yakasikika makofi na vigelegele kutoka kwa baadhi ya wabunge.
Hali iliendelea kuwa ya kikampeni zaidi katika mjadala. Huku wabunge wengine akionekana kumwambia Membe 'Mungu akutangulie katika safari yako'
Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete alionyesha dhahiri kuwa anamuunga mkono Membe kwani wakati wa kuchangia bajeti hiyo alimueleza kuwa yupo upande wake na anamuombea Mungu amtangulie katika safari yake.
Vimbwenga vinaendelea na muda huu ni kampeni kwa kwenda mbele huku nje!
Lowassa na team yake hawaonekani hapa!
Kigwangala anagawa vitabu vyake huku akihaha kila kona.
Mwigulu anajichomeka penye kila mkusanyiko wa wabunge na ni kampeni kwa kwenda mbele!
Hakuna Mtanzania Mwenye Sifa Ya Kuwa Rais Ispokuwa Wawili Tu Salmu Ahmed Salm Na Mzee Singe Joseph Warioba Baasi Kama Tukitaka Kijana Kiiidogo Tumjaribu Hamphrey Polepole