Ridhiwani Kikwete ampigia Membe kampeni bungeni

Ridhiwani Kikwete ampigia Membe kampeni bungeni

yelee uuuuuuuwii astaghafirullah na mungu aepushe mbali!! taifa hili lisiingie mikonon kwa mgosi mgosingwa kupenda napenda ukinipa natenda nikitenda umekwenda YESU WANGU UKUNDA KUTUGEE GEE NUKS HANGI MBAI TUKUTENDE ZEZE N'ZEE NKUTOE VIBAO

Duh!Kazi kweli kweli.
 
Ati Membe awe Rais wa Tanzania! Haki ya nani Watanzania tutakuwa tumelaaniwa

Duh Mkuu, kwanza kabisa ninaomba nikuombe radhi, mimi nilijua wewe ni team Membe, au umeshaama kambi na kutambua ukweli safari ya matumsini imewadia. Wewe ni mpiganaji mzuri ulichokosa ni utashi wa kuona ukweli, naamini team yako ikikosa nguvu utakuja kwenye ukweli na kuachana na Jumba kuu project A.KA Membe. Please say NO to third term. Hawa jamaa wameifikisha hii nchi hapa then wanataka Ucle aingie Jumba kuu. No No No to project Membe watanzania wenzangu
 
Hakuna Mtanzania Mwenye Sifa Ya Kuwa Rais Ispokuwa Wawili Tu Salmu Ahmed Salm Na Mzee Singe Joseph Warioba Baasi Kama Tukitaka Kijana Kiiidogo Tumjaribu Hamphrey Polepole

Umenena mkuu, yaani na ili kuondoa fitina na watu wasije pata presha ghafla wakafa. Bora wachague kati ya watu hao wawili. Pole pole bado anafaa uwaziri Wa sheria.
 
Ccm haina hata mtu mmoja mwenye sifa ya kuwa rais wa nchi hiii...benchi yao yote washamaliza sub hawana kitu.
Labda wamuombe warioba aokoe jahaziiiii lao ambalo linazamaaaaa
 
Sidhani kama atauweza huu mziki, kesho vyombo karibu vyote vya Habari vitakua Arusha
 

Attachments

  • 1432901986276.jpg
    1432901986276.jpg
    32.8 KB · Views: 388
Bunge la leo limetawaliwa na vihoja vya hapa na pale wakati wa mjadala.

Wakati Benard Membe akiwasilisha hotuba yake ya bajeti ya wizara ya mambo ya nje alimpongeza Lowassa kama mwenyekiti wa kamati ili kupima upepo na ndipo yakasikika makofi na vigelegele kutoka kwa baadhi ya wabunge.

Hali iliendelea kuwa ya kikampeni zaidi katika mjadala. Huku wabunge wengine akionekana kumwambia Membe 'Mungu akutangulie katika safari yako'

Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete alionyesha dhahiri kuwa anamuunga mkono Membe kwani wakati wa kuchangia bajeti hiyo alimueleza kuwa yupo upande wake na anamuombea Mungu amtangulie katika safari yake.

Vimbwenga vinaendelea na muda huu ni kampeni kwa kwenda mbele huku nje!

Lowassa na team yake hawaonekani hapa!

Kigwangala anagawa vitabu vyake huku akihaha kila kona.

Mwigulu anajichomeka penye kila mkusanyiko wa wabunge na ni kampeni kwa kwenda mbele!
Ritz anatafuta mtu wa kumlinda.tutamrudisha china akashtakiwe kwa madawa ya kulevya wanyonge takataka ile inafikiri nchi hii ni ukoo wa panya.
 
Warioba baba wa watu atakuja kufa na presha za watu ni kwa nini awaokoe alieche hilo jahazi lizame
 
Embe aliwahi kusema akioteshwa Urais na akiupata kuna Watu wanane ni lazima wahame Tz. Hatuhitaji Watu wa Visasi au mijoka ya mdimu
 
Ati Membe awe Rais wa Tanzania! Haki ya nani Watanzania tutakuwa tumelaaniwa

Mfano ukipewa nafasi tatu upendekeze majina ya wagombea urais bila kujali chama utawapendekeza kina nani?
 
Back
Top Bottom