johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 93,961
- 164,209
Kampeni iko mubashara Clouds Tv, wanasiasa na wadau wengine mnakaribishwa kuchangia.Clouds media wanaendesha kampeni ya kuwasaidia watoto 100 wanaosubiri kufanyiwa operesheni ya moyo ktk taasisi ya Jakaya Kikwete.Jumla ya watoto 512 wanasubiri operesheni hiyo na Clouds imeamua kuanza na hao 100.Jumla ya shilingi milioni mia mbili ndio lengo la ukusanyaji hadi kufikia saa 7 leo mchana.Kamanda Kova pia alikuwepo ktk kuunga mkono kampeni hii.Kutoa ni moyo karibuni sana!