Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,950
- 711
Jamani, kweli nashindwa kupata uelewa. Ni jinsi gani huyu kijana anatukuzwa kiasi hiki!!
Hawa vijana wanatakiwa wawe madarasani, lakini wameenda kuvalishwa sare za kijani bila hata kujua kuwa madaftari yao yakishajaa nani atawanunulia mapya. It's so disgusting watoto hawa kutumia kwa ajili ya maslahi ya mtu binafsi.
Tulliyaona ya Moi na anguko lake likafika.........zamu ya nani sasa? Tumuogope Mungu jamani.
Jionee mwenyewe.