Ridhiwani Again

Thread za JJ ziko huko,hapa issue ni Riz1,


Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 

Communist umegusa chimbuko la tatizo mie naongeza kama ifuatavyo unajua tatizo la Watanzania wengi ni kwamba wana imani sana na mbunge katika kutatua matatizo yao sasa wanasahau wanapomchagua mbunge wanatakiwa na huku chini wam-support kwa kuweka watu wa chama chake katika serikali za mitaa nikiwa na maana ya madiwani na wenyeviti wa mitaa ili waweze kuunda halmashauri na mwisho wa siku Mnyika na timu yake wanakuwa na nguvu ya kufanya maamuzi.

Mtoa hoja tatizo hapa ni mbunge ni CDM ila serikali ya mtaa na halmashauri imeundwa na CCM mwisho wa siku wao wapo wengi. Ushauri wangu tunapomchagua mbunge na chini pia tuchague watu wa chama chake.
 
BREAKING NEWS ufisadi mwingine wa Ridhiwani Kikwete anunua vile viwanja vya Temeke ambavyo vilikuwa
vinatangazwa sana na Manispaa amenunua viwanja 40 kwa Tshs
4,000,000/= HAKI YA MTANZANIA WA KAWAIDA IPO
WAPI?

Tupe source maana sidhani kama kwa sasa kuna bei ya kiwanja cha 100,000 (laki moja kwa maneno kuonyesha sijapunhuza sifuri), vinginevyo tutaichukua kama udaku au kama umesahau sifuri kadhaa kwenye hiyo milioni 4
 
Kama ni kweli kijana atakuwa anautumia URAISI wa babaye ipasavyo!
Ila mkuu ungaeambatnisha na source ya info ingekuwa njema usije ukawa unamsingizia
 
Mhh! Kama ni kweli basi hatazami mbele kuna nini ki namsubiri. Kama ni uzushi, jamani si vema kutengenezeana habari maana zinaweza kuwaweka wahusika kwenye matatizo yasiyo ya lazima. Ila ingependeza kama unaletwa ushahidi
 

Mbona hiki ulichoandika hakiendani na mada inayojadiliwa hapa?
 
Hayo yote Mnyika angeweza kufanikiwa kuyatekeleza kama tusingekuwa na rais Dhahifu jamani! Sasa Huelewi nini wewe gamba hapo!
 

sawa kama shetani ni baba wa uwongo,ccm ndo baba wa uwongo tanzania ndo alowafundisha uongo vyama vingne vilivyotokana na siasa zake
 

si mahala pake hapa soma heading!aaah!
 

Goodluck Mwangolombe kumbe hii ndo ID unayotumia JF, anyway ushauri wako ni mzuri japo una mapungufu lakini pia nadhani hii post na ulicho comment ni vitu viwili tofauti tafuta post husika useme
 
hebu bandika vidhibitisho/ushahidi. Tumechoka na majungu. kila siku riz,
 
asulubishwe kama ni kwli kachakachua hivyo viwanja.yamkute ...''tumechoka jamani, ka"!
 
tunataka kazi ya mbunge ionekane,ilete tija na mabadiliko.huko unakotaka ni kukwepa ukweli

Unafahamu majukumu ya mbunge kikatiba? Au kwa vile umezoea kuona wabunge wakinunua madawati na kugawa,na wakifanya shughuli zingine kwa pesa zao za mfukoni,basi ndiyo ukaona ndiyo majukumu yao?

Mbunge ana majukumu ya kutunga sheria na kuisimamia serikali ili itekeleze sheria hizo na majukumu mengine kama ilivyoainishwa kwenye katiba na sera za chama kilichounda serikali.

Sasa anachokifanya John ni sahihi kabisa,anaisimamia serikali ili ifanye majukumu yake kwa ufanisi. Kama unaona maji,umeme,ajira na afya bado ni shida,basi ujue serikali imeshindwa kutekeleza majukumu yake kama inavyoshauriwa na John na wenzake.

Bunge lingekuwa lenye kufanya kazi zake kwa haki na uzalendo,basi hii serikali ilikuwa ya kupiga chini (kwa kukataa bajeti na kutokuwa na imani na rais). Lakini unafahamu fika jinsi wabunge wa CCM walivyo ndumilakuwili.

Bunge,serikali na viongozi wake wamekuwa ni wataalamu wa "silly talking na promises".
 
Mkuu naona tomato sauce haipo sijui unaweza kunipatia habari ipate ladha vizuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…