I cant understand!!USHAURI WANGU KWA JOHN MNYIKA:
Nikiwa kama mkaazi wa Mbezi kimara ndani ya jimbo la John Mnyika, naona kuna matatizo mengi sana ambayo mengine yanaweza kutatuliwa na nguvu za mbunge wetu kwa nafasi yake. Maji ni taabu sana, katika eneo letu maji dumu la lita 2o hununuliwa na wanachi wa jimbo la Ubungo kwa Ths. 1000-1500, bei hizi pia unazikuta maeneo ya riverside ambako pia ni jimbo la ubungo, barabara mbovu, vibaka wa kutosha, vijana hawana ajira. Pia natambua na bado tunaikumbuka kampeni yake iliyokuwa imeongozwa na msemo wake wa "AMUA" yaani-Afya, Maji, Umeme, Ajira, hizi zilikuwa ahadi za Mnyika 2010. Hapa ktk jimbo la ubungo hakuna lililofanyiwa kazi na haya mnyika aliyahidi.
Nilitarajia kumskia mnyika ndani ya bunge anazungumzia mambo haya, badala yake anaenda kuzungumza mambo ambayo kwa uhakika hayagusi matatizo na ahadi zile alizokuwa anawahaidi wanaUbungo.
USHAURI WANGU KWA JOHN MNYIKA:

Ina maana kila kiwanja amenunua kwa sh 100,000 tu?
The unseen is illustrated by the seen.
Una ushahidi wowote mkuu?BREAKING NEWS ufisadi mwingine wa Ridhiwani Kikwete anunua vile viwanja vya Temeke ambavyo vilikuwa
vinatangazwa sana na Manispaa amenunua viwanja 40 kwa Tshs
4,000,000/= HAKI YA MTANZANIA WA KAWAIDA IPO
WAPI?
Hoja yako haihusiani na topic. Hatahivo unafikiri asipoongelea uandaaji mzuri wa budget na uwajibikaji hizo pesa ya kutoa huduma ubungo itatoka wapi? Huko kukosekana na huduma ni kwa sababu ya ubovu wa watendaji kuanzia kwa Rais.[h=6]USHAURI WANGU KWA JOHN MNYIKA:
Nikiwa kama mkaazi wa Mbezi kimara ndani ya jimbo la John Mnyika, naona kuna matatizo mengi sana ambayo mengine yanaweza kutatuliwa na nguvu za mbunge wetu kwa nafasi yake. Maji ni taabu sana, katika eneo letu maji dumu la lita 2o hununuliwa na wanachi wa jimbo la Ubungo kwa Ths. 1000-1500, bei hizi pia unazikuta maeneo ya riverside ambako pia ni jimbo la ubungo, barabara mbovu, vibaka wa kutosha, vijana hawana ajira. Pia natambua na bado tunaikumbuka kampeni yake iliyokuwa imeongozwa na msemo wake wa "AMUA" yaani-Afya, Maji, Umeme, Ajira, hizi zilikuwa ahadi za Mnyika 2010. Hapa ktk jimbo la ubungo hakuna lililofanyiwa kazi na haya mnyika aliyahidi.
Nilitarajia kumskia mnyika ndani ya bunge anazungumzia mambo haya, badala yake anaenda kuzungumza mambo ambayo kwa uhakika hayagusi matatizo na ahadi zile alizokuwa anawahaidi wanaUbungo.[/h]
BREAKING NEWS ufisadi mwingine wa Ridhiwani Kikwete anunua vile viwanja vya Temeke ambavyo vilikuwa
vinatangazwa sana na Manispaa amenunua viwanja 40 kwa Tshs
4,000,000/= HAKI YA MTANZANIA WA KAWAIDA IPO
WAPI?
hapa ndo wabongo wengi hamueleweki.pamoja na hilo ila mnyika kama mbunge anahaki ya kuikosoa serikali.USHAURI WANGU KWA JOHN MNYIKA:
Nikiwa kama mkaazi wa Mbezi kimara ndani ya jimbo la John Mnyika, naona kuna matatizo mengi sana ambayo mengine yanaweza kutatuliwa na nguvu za mbunge wetu kwa nafasi yake. Maji ni taabu sana, katika eneo letu maji dumu la lita 2o hununuliwa na wanachi wa jimbo la Ubungo kwa Ths. 1000-1500, bei hizi pia unazikuta maeneo ya riverside ambako pia ni jimbo la ubungo, barabara mbovu, vibaka wa kutosha, vijana hawana ajira. Pia natambua na bado tunaikumbuka kampeni yake iliyokuwa imeongozwa na msemo wake wa "AMUA" yaani-Afya, Maji, Umeme, Ajira, hizi zilikuwa ahadi za Mnyika 2010. Hapa ktk jimbo la ubungo hakuna lililofanyiwa kazi na haya mnyika aliyahidi.
Nilitarajia kumskia mnyika ndani ya bunge anazungumzia mambo haya, badala yake anaenda kuzungumza mambo ambayo kwa uhakika hayagusi matatizo na ahadi zile alizokuwa anawahaidi wanaUbungo.
Hoja yako haihusiani na topic. Hatahivo unafikiri asipoongelea uandaaji mzuri wa budget na uwajibikaji hizo pesa ya kutoa huduma ubungo itatoka wapi? Huko kukosekana na huduma ni kwa sababu ya ubovu wa watendaji kuanzia kwa Rais.[h=6]USHAURI WANGU KWA JOHN MNYIKA:
Nikiwa kama mkaazi wa Mbezi kimara ndani ya jimbo la John Mnyika, naona kuna matatizo mengi sana ambayo mengine yanaweza kutatuliwa na nguvu za mbunge wetu kwa nafasi yake. Maji ni taabu sana, katika eneo letu maji dumu la lita 2o hununuliwa na wanachi wa jimbo la Ubungo kwa Ths. 1000-1500, bei hizi pia unazikuta maeneo ya riverside ambako pia ni jimbo la ubungo, barabara mbovu, vibaka wa kutosha, vijana hawana ajira. Pia natambua na bado tunaikumbuka kampeni yake iliyokuwa imeongozwa na msemo wake wa "AMUA" yaani-Afya, Maji, Umeme, Ajira, hizi zilikuwa ahadi za Mnyika 2010. Hapa ktk jimbo la ubungo hakuna lililofanyiwa kazi na haya mnyika aliyahidi.
Nilitarajia kumskia mnyika ndani ya bunge anazungumzia mambo haya, badala yake anaenda kuzungumza mambo ambayo kwa uhakika hayagusi matatizo na ahadi zile alizokuwa anawahaidi wanaUbungo.[/h]
[h=6]USHAURI WANGU KWA JOHN MNYIKA:

Magwanda hamna hoja mna viroja. Hata bungeni sasa hivi, watu wanapanda wanapiga porojo lakini hawaongelei hoja ya bajeti iliyo mbele yao. Mmepeleka bajeti mbadala ina mapato "0".
Uongo mtupuuuuu.
Huoni hata haya?
WanaJF
Katika hali ya kusikitisha na kusitajabisha mnamo mwezi wa sitta manisipaa ya temeke ilitoa tangazo la
kuuza viwanja 2800 lakini 742 ndo vilivyogwawiwa. siku hiyo wananchi walipanga msitali tokea asubuhi mpaka
saa 10 jion lakini cha kushangaza watu waliopata viwanja ni wale vigogo wa siku zote ina mana siku hawana viwanja??
kwanini kila kitu wanachukua wao??
1. George mkuchika na mtoto wake
JE hawa pamoja na kuiibia serikali hawajalizika naviwanja walivyonavyo?
2. M mwandosya
Kwanin huyu mtu aliwaachia wanaanchi wa kawaida wakapata?
3. khalfani kikwete
Sijui hapa nisemeje?
4. Pinda chana
Hawa wanaendelea kutunyonya
5. R. Dau
Kanyonya sana NssF? na huku tunahesabu maumivu
6. Said mek sadiki na mke wake
Na ukaimu mkuu wa mkoa huna kiwanja?
7 Sophia simba
Sijui huyu anataka viwanja na pesa zote amiliki yeye?? epa??
8. Omari Mzee (zanzibar)
9. HAwa Ghasia na ndugu zake
List ni ndefu ukifika pale temeke utaona watoto wengi wa vigogo ndo wamepota\
HUU NI UNYONYAJI KWA WATANZANIA WA HALI YA CHINI
Nafikiri umesema kitu cha maana, lakini hujagusa kabisa mzizi. Karibu serikali zote za mitaa katika jimbo la ubungo ni za CCM na hazifanyi kazi kabisa, ni uizi na kuuza maji. Sasa wananchi wa Ubungo labada tukubaliane kuzipiga chini hizi serikali za mitaa. huku kwetu golani Msewe wamekula milioni 60 kwenye mradi wa tanki la maji la GODI. Sijui huko kwenu mnajiandaaje. huku msewe kitanuka muda sio mrefu. Kuna mradi wa vijana wa workshop nao umekwamiswa na hawa, kuna police post imejenwa kwa miaka karibu 20 haijaisha. matanki ya maji ya dawasco yanatumika na watu binafsi kuuza maji, kwa bei hiyo unayosema. Hapo vipi. Tuwangoe hawa ili tupate watakaofanya kazi na Mnyika.
USHAURI WANGU KWA JOHN MNYIKA:
Nikiwa kama mkaazi wa Mbezi kimara ndani ya jimbo la John Mnyika, naona kuna matatizo mengi sana ambayo mengine yanaweza kutatuliwa na nguvu za mbunge wetu kwa nafasi yake. Maji ni taabu sana, katika eneo letu maji dumu la lita 2o hununuliwa na wanachi wa jimbo la Ubungo kwa Ths. 1000-1500, bei hizi pia unazikuta maeneo ya riverside ambako pia ni jimbo la ubungo, barabara mbovu, vibaka wa kutosha, vijana hawana ajira. Pia natambua na bado tunaikumbuka kampeni yake iliyokuwa imeongozwa na msemo wake wa "AMUA" yaani-Afya, Maji, Umeme, Ajira, hizi zilikuwa ahadi za Mnyika 2010. Hapa ktk jimbo la ubungo hakuna lililofanyiwa kazi na haya mnyika aliyahidi.
Nilitarajia kumskia mnyika ndani ya bunge anazungumzia mambo haya, badala yake anaenda kuzungumza mambo ambayo kwa uhakika hayagusi matatizo na ahadi zile alizokuwa anawahaidi wanaUbungo.
How is it connected to the original THREAD? Mbaona unatuchanganya?USHAURI WANGU KWA JOHN MNYIKA: