Huyu ni fisadi tu, kwanza atuambie richmond ni ya nani? na Sh 152milion kama malipo ya kila siku alikuwa anapewa nani?:majani7:
Hapo kwenye kijani ndio pana ukweli woteee..."Ni kweli hayo magari ni ya huyo bwana mkubwa na yalikuwa 20, lakini 10 yalilipwa ushuru halali"alidai ofisa mmoja wa TRA kituo cha Namanga.
Ridhiwan alisema kuthibitisha kwamba tuhuma hizo ni za uwongo haiwezekani mtu anayetajwa kuwa tajiri kama yeye ashindwe kulipia ushuru wa malori kumi. "Uwongo mwingine huo, kama kweli ningekuwa nina utajiri wote huo, nishindwe kulipia ushuru wa malori kumi tu! Ndo maana nasema ni uwongo tena wa kutunga,"alisema.
Kaimu Meneja wa TRA Arusha, Theresia Mponeja alipulizwa na gazeti hili wiki iliyopita alikanusha kuzuiwa kwa malori hayo na kwamba hakuna taarifa hizo.
King Kong III we noma.kwa hizi data hata magufuri mzee wa kushusha data hakuwezi.:glasses-nerdy:Wote waongo hao!! Lowassa ni tajiri wa kutupwa ebu anza tu na Alpha Investiment....1.Alpha House(Ghorofa nne)--Victoria2.Alpha School-Mikocheni Majengo kama mvua pale3.Alpha Arpartments ndio usiseme 4.Share DarVilla(Apartment zaidi ya 100)5.Supermarkets Arusha!!6.Nyumba masaki za kupanga..Riz.one we na wewe usiongee kabisa wewe ni tajiri unamzidi lowassa,kuna ghorofa 6 unajenga karibia na oysterbay police!! Rudisha bil64 za EPA ulizokwapua!! Kuna mjengo wako upo mikocheni tulikuja kufanya usafi siku moja hapo na kampuni ya kukodi yani magari niliyaona humo ndani ni balaaa ila nashukuru ulitupa maziwa ya kunywa!! Tandale una ghorofa ndani umeweka magari ya kifahari tu,umemuweka mpambe wako anasimamia dcm za gongo la moto zipo kama 30 hiv TG&TA,tanzania nzima una majengo mnatumia urais wa baba yenu vibaya yani hadi miraji mvuta bangi ana bonge la hekaru kinyerezi,huyu mvuta bangi alishawahi kumuibia baba yake mark 2!! Iringa riz1 una mashimo ya kuchimbia mawe una ma-crusher ya kukinga,kampuni yako ndio inayopata tenda ya kujenga mji wote wa iringa kwa kusupply mchanga,kokoto,cement nk! Tukirudi kwenye viwanja vya kupima una viwanja zaidi ya 100! Wewe ni tajiri tz nzima,umeweka semi 100 kwa davis mosha,haya tena semi zako 70 zimekamatwa! Una kampuni za kusafirisha mafuta lake oil yako,umefungua oil station(sheli) karibu tz nzima! Forbes inabidi wakuingize kwenye under 40 cash kings umemzidi utajiri hadi mark zurb(mmiliki wa facebook)!!
Gonjwa gani tena mkuu!
ulichoandika ndio data za utajiri wa EL, sijaona kosa hapo,maeneo kama anashirikiana na wasomali ktk biashara zisizojulikana sasa wewe si umezijua , tujulishe au ni zile hisia zenye kuongozwa na kutompenda hivyo paka matope, kwangu ni mchapakazi aliyetumia vzr fursa zake za kisiasa kujitajirisha.na natoa wito kwa wanasiasa wote acheni wivu,anasa na matendo ya kishirikina fursa mliyonayo mkiwa waaminifu na wakweli kila mtu ambaye ni mwekezaji wa ndani au nje atapenda kufanya kazi na ww hapo ndipo utakapotoka na maisha.Lowasa, Rostam na Chenge hawa ni watu wasioweza kutenganishwa. Niambie sasa Lowasa akiwa rais hii nchi hata hizo barabara tulizojenga na madaraja yake yatauzwa. Umeme ndo tusahauu kabisaa maana biashara yao ya majenerator itapamba moto. Wake up guys and say a big NO tu Lowasa jizi lilokubuhu.
Kama unataka kujua baadhi ya utajiri wake ni kwamba anamiliki kampuni ya kufua nguo ya Alpha nchi nzima, anamiliki kampuni ya Alphatel mojawapo wa mawakala wakuu wa VodaCom wasiolipa kodi, anamiliki Hotel huko South Africa, anamiliki kampuni ya Barare na na anashirikiana na Wasomali katika biashara zisizojulikana, anamiliki kampuni ya Tours na ana Lodge maalum kwa watalii huko Arusha na ana miliki majumba kadhaa jijini DAR na Arusha, n.k n.k. J
e huu si utajiri wa kutisha?
Wote waongo hao!! Lowassa ni tajiri wa kutupwa ebu anza tu na Alpha Investiment....1.Alpha House(Ghorofa nne)--Victoria
2.Alpha School-Mikocheni Majengo kama mvua pale
3.Alpha Arpartments ndio usiseme
4.Share DarVilla(Apartment zaidi ya 100)
5.Supermarkets Arusha!!
6.Nyumba masaki za kupanga.
.Riz.one we na wewe usiongee kabisa wewe ni tajiri unamzidi lowassa,kuna ghorofa 6 unajenga karibia na oysterbay police!! Rudisha bil64 za EPA ulizokwapua!! Kuna mjengo wako upo mikocheni tulikuja kufanya usafi siku moja hapo na kampuni ya kukodi yani magari niliyaona humo ndani ni balaaa ila nashukuru ulitupa maziwa ya kunywa!! Tandale una ghorofa ndani umeweka magari ya kifahari tu,umemuweka mpambe wako anasimamia dcm za gongo la moto zipo kama 30 hiv TG&TA,tanzania nzima una majengo mnatumia urais wa baba yenu vibaya yani hadi miraji mvuta bangi ana bonge la hekaru kinyerezi,huyu mvuta bangi alishawahi kumuibia baba yake mark 2!! Iringa riz1 una mashimo ya kuchimbia mawe una ma-crusher ya kukinga,kampuni yako ndio inayopata tenda ya kujenga mji wote wa iringa kwa kusupply mchanga,kokoto,cement nk! Tukirudi kwenye viwanja vya kupima una viwanja zaidi ya 100! Wewe ni tajiri tz nzima,umeweka semi 100 kwa davis mosha,haya tena semi zako 70 zimekamatwa! Una kampuni za kusafirisha mafuta lake oil yako,umefungua oil station(sheli) karibu tz nzima! Forbes inabidi wakuingize kwenye under 40 cash kings umemzidi utajiri hadi mark zurb(mmiliki wa facebook)!!
Hivi uchaguzi TFF ni lini?

huyu mzee ngojwa lake lina msubua nilishikana nae mkono juzi mkono wake unatetemeka kama kapigwa shoti ya umeme ajifie tu maana kashaua wengi..
Mkuu kwa kuongezea tu Ridhwani ana Resorts za kufa mtu kule Morogoro maeneo ya Mzumbe na Bigwa kule milimani,ni investment za billions of money,ameweka na coaster 14 mpya kwenye resort yake ya Chilakale kule Bigwa na Chilakale ya Mzumbe ameweka coaster 8 bado zote hazijaanza kutumika,wanatuona sisi wajinga eti wamempa jamaha wa usalama wa taifa anaitwa Mbena Malumbi ndio ajifanye Chilakale resorts ni mali zake wakati si kweli,mbaya zaidi ujenzi wao una athiri mpaka vyanzo vya maji kwenye milima ya uluguru
Unaidhalikisha Yanga, sema Rais wa Saccoss huko Monduli chini. Au Rais wa Vikoba japo itabidi asiwe na mamlaka ya kuidhnisha matumizi (manunuzi) vinginevyo itakuwa Richmond nyingine a.k.a Richmonduli.
ccm hawakosei kuwa hii nchi ina wenyewe, na wenyewe ni ccm.