Ridhiwan Kikwete: Mimi si fisadi

Yawezekana amewadharau tu....

Omarilyas

Ooh haipendezi kwa kiajana kama wewe kuwa na dharau,uko hivyo unaanza dharau utafiki kweli?by the way mimi naona umekujidharau mwenyewe kwani ulipaswa kujibu hoja..Sio kukimbia hoja.Mimi natafsiri kwamba umekosa la kujibu wala sio kunaidharau.
 

Hello Ngoshwe,

Hiyo ni list of Children of presidents au ni list of presidents?
Watu wanaweza kuelewa kuwa marais wote wa USA baba zao walikuwa marais.
Si busara kuamini kuwa viongozi lazima watokane na uongozi wa wazazi wao, wakati mwingine juhudi binfsi zinwafikisha walikofika!
 
Mwandishi wa hii makala inaelekea hajutaka kujikita katika hali halisi ya kimaisha. Si ajabu mtoto wa askari kuwa askari, mtoto wa fundi bomba kuwa fundi bomba, na mtoto wa mwana siasa kuwa mwanasiasa. Siasa huwa zinakuwepo mpaka nyumbani, na maandalizi ya kisiasa kwa watu kama akina January na Ridhiwani wanaweza kuwa walikuwa wanayapata tangu wakiwa wadogo. Marekani pekee yake imekwisha to Marais watatu ambao ni watoto au ndugu wa Rais aliyekuwepo madarakani.

Hivyo siajabu kwa mlimao kuzaa mlimao na ukizaa mchungwa basi unaweza kuwa wa kupandikizwa hivi ndivyo tunavyoamini kule kwetu Uchina. Mpiga zumari anaweza kuzaa mtoto bingwa wa kucheza zumari au bingwa wa kulipiga. hivyo mwandishi hakuitendea wema taaluma yake kwasababu alichukuwa hisia zake kumwongoza katika uandishi wa makala hiyo zaidi ya ilivyotakiwa kwa tafakuri na taaluma na mitaala yake ya uandishi wa habari na makala hayo.

Inabidi kuwapa watoto fursa mbali mbali ili waweze kuwa na uwigo mkubwa wa kuchagua nini wanataka kukifanya. Wakichaguwa siasa wasaidie tu, wakichagua kulima wape jembe walime, wakiamua kucheza sinema wapeleke shule za mchepuo huo na wakiamua kuwa wajasiria mali wape mtaji na mwongozo wa kufanya hivyo. ila tu tusilalamike bila sababu za msingi.
 
Hujaelewa mada si habari ya fundi bomba na fundi bomba...rudi tena uisome
 
I hope unachokijua ndio ukweli hata kama unaowahukumu huwajui....

omarilyas
Unadhani wewe peke yako ndio unaowajua hao.....toka mwanzo nimesema namjua ridhiwani na sio january
Ubavu wa kudharau watu katika hoja hii huna....umekimbia hoja
Mix with yours
 

Umenifikirisha kitu hapa.Nilkuwa sijagutuka.
 

Hivi Ridhwani na Januari wanalipi la kujulikana ambalo litatusaidia kwa mfano wakiwa wabunge? Si wametoka shule juzi tu na wao ndio wanatakiwa wajifunze kwa wengine kwanza?
 

huhitaji darubini kuona kama ridhwani na januari wanabebwa na baba zao au kwa hofu ya baba zao.
 
Kwa Tanzania mgongano wa kimasrahi ni vigumu sana kuukwepa.
Akina baba waliopo madarakani wanaweza jikuta wana nyimwa hata unyumba kwa ajili ya mgongano wa kimasrahi.

Haha hapo kweli umenichekesha
 

Omarilyas will always be Omarilyas... he will always so (or too) self confident even when he should not be. It could prove to be useful in some ways but I mean come on.. defending Ridhwani or Benno Malissa as COMPETENT? puleeez!
 
Omarilyas will always be Omarilyas... he will always so (or too) self confident even when he should not be. It could prove to be useful in some ways but I mean come on.. defending Ridhwani or Benno Malissa as COMPETENT? puleeez!

hee,na Benno naye yumo?
 
hee,na Benno naye yumo?

Nadhani amemweka tu ilikuonyesha kuwa kundi hili ni bomu....ukimtaja ridhiwani kisiasa ana m reflect beno....ni mapacha kisiasa hawa
kwa iyo mwandishi amechanganya na za kwake akamkumbuka beno....
mix with yours
 
Msanii,heshima mbele!Tanzania sio nchi ya kisultani bwana labda Zanzibar..Hoja ya msingi hapa hivi watoto wetu hawatakiwi kutamani career za wazazi wao?

Yes GS but nadhani its more than kutamani hapa...nilichangia thread fulani nikapinga kabisa hoja ya kusema watoto wa wanasiasa wasiwe wanasiasa...nikaeleza msimamo wangu ni kwamba kama ana uwezo wa kuongoza ana haki zote za kuwa na dhamana ya uongozi...KIBAYA NINACHOKIONA NI ILE HALI YA MTU ASIYE NA UWEZO KUONGOZA KUTAMANI KUWA KIONGOZI NA KUTuMIA MGONGO WA BABA AU MAMA YAKE ILI KUPATA UONGOZI....huuu ni upuuziiiii NAMBA 1 ....NAMBA 2 ni wananchi nao kumshabikia mtoto huyo wa mkubwa na kumpigia kura eti kwa sababu ni mtoto wa fulani....najua akitokea mtoto wa moringe hapa hata kama GARASA ataungwa mkono na wengi....
Mmmh mtoto anaweza akatamani uinjinia au udaktari wa baba yake lakini madude yakamzidia akajikuta analalala mbele....it's more than kutamani....
mix with yours
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…