Tehe tehe akipumzishwa Keko Dr Slaa na Kikwete pale Magogoni itakuwa mwisho wake. Kwanza huyo JK anamwogopa Dr wa ukweli ndio maana kamwongezea ulinzi, kucheza na Dr Slaa unacheza na maisha ya wa TZ wote.Slaa akapumzishwe tu Keko...tayari haka kazee kameshajichokea
Dah hii mpya!!!Tehe tehe akipumzishwa Keko Dr Slaa na Kikwete pale Magogoni itakuwa mwisho wake. Kwanza huyo JK anamwogopa Dr wa ukweli ndio maana kamwongezea ulinzi, kucheza na Dr Slaa unacheza na maisha ya wa TZ wote.
KUNA OPERESHENI SAFISHA JAMVI MWEZI HUU,MKUU ANGALIA USIJE UKALA PERMANENT SERVER BAN
Slaa akapumzishwe tu Keko...tayari haka kazee kameshajichokea
washitakiwa wengine ni mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya free media ltd,mhariri mtendaji wa tanzania daima na mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya printech ltd
kesi imefunguliwa jalada namba 109,ilitajwa jumatatu wiki hii mbele ya msajili wa mahakama kuu kanda ya dsm amir msumi
ridhiwan pamoja na mambo mengine anataka washitakiwa hao kumlipa fidia ya shilingi bilioni 2
pia ameitaka mahakama kuwazuia wadaiwa hao na mawakala wao kutorudi tena kutangaza maneno ya KASHFA katika vyombo vya habari likiwemo gazeti la tanzania daima kwake binafsi na BIASHARA ZAKE na wamwombe radhi bila masharti yoyote
kesi imeahirishwa tena hadi disemba 12 mwaka huu
kesi itaahishwa mpaka 2015 halafu dr.slaa anatiwa ndani miaka kadhaa
wameshausoma upepo wa 2015 kupitia igunga
Wewe tu ndo hujui, mbona ipo hivyo siku nyingi tu!!!!Dah hii mpya!!!
tehe tehe akipumzishwa Keko Dr Slaa na Kikwete pale Magogoni itakuwa mwisho wake. Kwanza huyo JK anamwogopa Dr wa ukweli ndio maana kamwongezea ulinzi, kucheza na Dr Slaa unacheza na maisha ya wa TZ wote.
KUNA OPERESHENI SAFISHA JAMVI MWEZI HUU,MKUU ANGALIA USIJE UKALA PERMANENT SERVER BAN
acha ujinga,kwan kila mwanajf lazma asifie cdm na watawala wake ndo asile ban?then hao mamods nao wajiite great thnkers!duhu!.Slaa anaweza kuwekwa keko nae kama walivyo raia wengine arhaaa...!
Slaa akapumzishwe tu Keko...tayari haka kazee kameshajichokea
Slaa akapumzishwe tu Keko...tayari haka kazee kameshajichokea
Mwizi amshtaki mlinzi