Ridhiwan Kikwete awashitaki Dr. Slaa, Mtikila

nyabhingi

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
15,500
19,962
Washitakiwa wengine ni mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya free media ltd, mhariri mtendaji wa Tanzania daima na mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya pPintech ltd. Kesi imefunguliwa jalada namba 109, ilitajwa jumatatu wiki hii mbele ya msajili wa mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam Amir Msumi.

Ridhiwan pamoja na mambo mengine anataka washitakiwa hao kumlipa fidia ya shilingi bilioni 2, pia ameitaka mahakama kuwazuia wadaiwa hao na mawakala wao kutorudia tena kutangaza maneno ya KASHFA katika vyombo vya habari likiwemo gazeti la Tanzania daima. Kwake binafsi na BIASHARA ZAKE, na wamwombe radhi bila masharti yoyote.

Kesi imeahirishwa tena hadi disemba 12 mwaka huu. Kesi itaahirishwa mpaka 2015 halafu Dr. Slaa anatiwa ndani miaka kadhaa wameshausoma upepo wa 2015 kupitia Igunga
 
na hili litapita! dr waukweli ataingia magogoni 2015!

ila niwe mkweli kati ya watu ambao siwapendi huyu jamaa yumo(ridhiwani)
 
Ridhiwani utaumbuka wewe ni billionea na fisadi,utajiri ulioupata umeupatajepataje ndani ya mwaka mmoja ni millionea,ebu tuambie kuna mwanasheria gani ndani ya miaka mi2 tu akawa bilionea na hizo fedha umezipataje? Weka vielezo vyote,maghorofa yako ya magomeni, mikocheni, oysterbay, masaki, arusha, iringa, pia weka wazi semi trailer 100 umezitoa wapi?

Asas, lake oil, machimbo ya mchanga na mawe Iringa hela metoa wapi?? Kwa nini ujawashtaki kama ulivyoahidi ndani ya wiki 2? Kama ushafuta ushaiidi wa mali zako au uliowamilikisha tutaanza na wao hizo mali wamepata wapi na wawe na vielelezo vyote, hadi TRA tutaenda tujue kama kweli walilipa kodi kama hawajalipa tunawafungulia kesi ya kuujumu uchumi
 
Slaa akapumzishwe tu Keko...tayari haka kazee kameshajichokea
Tehe tehe akipumzishwa Keko Dr Slaa na Kikwete pale Magogoni itakuwa mwisho wake. Kwanza huyo JK anamwogopa Dr wa ukweli ndio maana kamwongezea ulinzi, kucheza na Dr Slaa unacheza na maisha ya wa TZ wote.

KUNA OPERESHENI SAFISHA JAMVI MWEZI HUU,MKUU ANGALIA USIJE UKALA PERMANENT SERVER BAN
 
Tehe tehe akipumzishwa Keko Dr Slaa na Kikwete pale Magogoni itakuwa mwisho wake. Kwanza huyo JK anamwogopa Dr wa ukweli ndio maana kamwongezea ulinzi, kucheza na Dr Slaa unacheza na maisha ya wa TZ wote.

KUNA OPERESHENI SAFISHA JAMVI MWEZI HUU,MKUU ANGALIA USIJE UKALA PERMANENT SERVER BAN
Dah hii mpya!!!
 
washitakiwa wengine ni mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya free media ltd,mhariri mtendaji wa tanzania daima na mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya printech ltd
kesi imefunguliwa jalada namba 109,ilitajwa jumatatu wiki hii mbele ya msajili wa mahakama kuu kanda ya dsm amir msumi
ridhiwan pamoja na mambo mengine anataka washitakiwa hao kumlipa fidia ya shilingi bilioni 2
pia ameitaka mahakama kuwazuia wadaiwa hao na mawakala wao kutorudi tena kutangaza maneno ya KASHFA katika vyombo vya habari likiwemo gazeti la tanzania daima kwake binafsi na BIASHARA ZAKE na wamwombe radhi bila masharti yoyote
kesi imeahirishwa tena hadi disemba 12 mwaka huu


kesi itaahishwa mpaka 2015 halafu dr.slaa anatiwa ndani miaka kadhaa
wameshausoma upepo wa 2015 kupitia igunga

si alisema hana biashara yeyote zaidi ya kudandia magari ya watu

Cha msingi Dr. Slaa aombe mahakama kumruhusu kuwasilisha ushahidi wa kielectronikia ili wajumbe tumrushie mawasiliano ya dogo huyu na wakuu wa kampuni ya ujenzi inayofanya kazi sasa kupanua bara bara pale mtava na kuanzia uwanja wa ndege kwenda gongo la mboto kijana huyu analalamika kuwa gawio lake limechelewa na yeye ndiye aliyewekeza fedha nyingi ndani ya kampuni hii SKOL building contractor
 
Alisemaga hana biashara na huwa anampiga mizinga Dingi wake. Sasa leo hizi biashara zimetoka wapi!
 
nimesoma kwenye media leo Baba Riz1 akiitaka tume ya maadili ya umma kuwachunguza hata wale wasio watumishi wa serikali, sasa riz1 atachunguzwa kama mjasiriamali binafsi au ataunganishwa kwenye linage ya baba yake.

Pia hapa limekuwepo wazo la kuwa na taasisi huru za uchunguzi wa jinai (zinaitwa independent/private prosecutor au!!!??) maana wadau wengine wanajua kuwa wameshawaweka mifukoni akina DPP, IGP, TISS nk
 
tehe tehe akipumzishwa Keko Dr Slaa na Kikwete pale Magogoni itakuwa mwisho wake. Kwanza huyo JK anamwogopa Dr wa ukweli ndio maana kamwongezea ulinzi, kucheza na Dr Slaa unacheza na maisha ya wa TZ wote.
KUNA OPERESHENI SAFISHA JAMVI MWEZI HUU,MKUU ANGALIA USIJE UKALA PERMANENT SERVER BAN


Mkuu kumbe Dr wetu anapewa Ulinzi kama mkuu wa Majeshi eeeeh?? Ila wasije wakamdhuru maana nchi haitakalika hii.
 
ujinga unao wewe usiye elewa nini unachoandika...
usitake kunirudisha tena kwenye BAN, nakusamehe bure

acha ujinga,kwan kila mwanajf lazma asifie cdm na watawala wake ndo asile ban?then hao mamods nao wajiite great thnkers!duhu!.Slaa anaweza kuwekwa keko nae kama walivyo raia wengine arhaaa...!
 
kitu ninachochukia ni rizione, na siku yako yaja ni lazima yamkute yaliyowakuta wale watoto wa gadafi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom