Nakapanya
JF-Expert Member
- May 22, 2012
- 2,096
- 709
Wote ni wanamuziki kutoka Jamaica,wanaimba muziki ambao una ladha nzuri kabisa sweet reggae/riddim,binafsi napata wakati mgumu kujua nani mkali kati yao.
Chini ni baadhi ya nyimbo za kila mmoja wao;
ALAINE.
Amazing
Still smilin
Stronger
You are me
Without you
CE'CILE
when you are gone
Life is so precious
Upgrade
Anything
Promise
If you love me
Naam kwa baadhi hizo nyimbo na nyingine uzijuazo tuambie nani mkali au ngoma droo