Richmond vs dowans | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Richmond vs dowans

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by chechekali, Jan 13, 2011.

 1. c

  chechekali Member

  #1
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 33
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Richmond ilikuwa feki sawa hilo tumethibitishiwa na kamati ya bunge chini ya mwenyekiti wake mwakyembe. Kwasababu ilikuwa feki hata mkataba wake ulikuwa feki nalo ni sawa tumekubali.
  Dowans inarithi mkataba feki wa richimond kamati ileile ya mwakyembe inaona...na viongozi wote wako. Leo tumeshtuka.
  Swali:ikiwa kamati ile itakubali Dowans walipwe je Richmond itabaki kuwa feki? ka feki ilikuwaje mkataba wake apewe Dowans? Je kukubali dowans si kuhalalisha mkataba wa richmond? Je kuhalalisha richmond si kumfanya mwakwembe na wenzake waonekane walifanya fitina kuandaa report ile?
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Muulize ngeleja uone majibu ya hilo swali! And this is absurd. Anyone who has the power to make you believe absurdities has the power to make you commit injustices!

   
 3. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,933
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  swali: ?... ?... ?... ? ..... sioni swali naona alama za kuuliza tu...!
   
 4. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #4
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hivi wewe unaona zile mbwembwe za Mwakyembe pale bungeni ndio ukadhani yote aliyokuwa akiyasema ni kweli? Zile zilikuwa mbwembwe za kutaka hoja yake ikubalike na aonekane kazi yake aliyotumwa kaifanya, lakini most of it ilikuwa ni porojo tu.

  Kampuni hewa ingeshtakiwa huko kwao Merekani? Basi hawa Mawakili na wanasheria wa Merekani na Majaji na Jurors wanasikiliza hiyo kesi wote ni mbumbumbu? Soma chini hapa halafu ndio utajuwa wabunge wetu walivyo madubu:

  Dowans Holdings S.A. et al v. RDEVCO, LLC

  | Plaintiffs: Dowans Holdings S.A. and Dowans Tanzania Limited
  Defendant: RDEVCO, LLC
  Case Number: 4:2010cv01086
  Filed: April 2, 2010
  Court: Texas Southern District Court
  Office: Houston Office
  County: Harris
  Presiding Judge: Nancy F. Atlas
  Nature of Suit: Contract - Recovery of Overpayment and Enforcement of Judgment Cause: 28:1332
  Jurisdiction: Diversity
  Jury Demanded By: Plaintiff
   
 5. e

  elimukwanza Senior Member

  #5
  Jan 13, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 167
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  pumba!
  Kinyaa
   
 6. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #6
  Jan 13, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  sio dawa
   
 7. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #7
  Jan 13, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,933
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  hii post imeanzishwa na zomba..... anajijibu mwenyewe...potezea... JF p'se
   
 8. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #8
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Kazi unayo....kutetea kuwa mavi sio kinyesi
   
 9. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #9
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Naona watu wengi wanaochangia hawajajishughulisha kusoma hukumu husika; katika hukumu ile suala Richmond kuwa kampuni hewa ni kama lilipigwa chenga kwa madai kuwa pande zote zilizohusika kwenye mkataba huo zilikuwa zinafahamiana.
   
 10. F

  FUSO JF-Expert Member

  #10
  Sep 15, 2015
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,834
  Likes Received: 2,306
  Trophy Points: 280
  hii ni hoja ya msingi sana - ufafanuzi tafadhali!!
   
 11. kson m

  kson m JF-Expert Member

  #11
  Sep 15, 2015
  Joined: Jan 24, 2014
  Messages: 5,154
  Likes Received: 1,504
  Trophy Points: 280
  Ukisoma kwa makini utafikia hitimisho kuwa issue yote ni ya kupika.kama sivyo eleza asili ya mitambo ya Umeme iliyotembelewa na yule raisi Wa Marekani pale UBUNGO.
   
Loading...