Richmond kutikisa Bunge

Humu mi ni mgeni sana ila nlipatamani mda mrefu,hoja yangu ya kwanza ndo hii.inafahamika skendo ya richmond ilivomtese lowassa mpaka sasa ana2mia fund kujisafish ktk makanisa kisa magogoni,vp wenzangu mana mmeskia kuna hoja ya MNYIKA ktk bunge lililoanza kuhusu richmond,itamnusuru ama ndo ITAMMLIZA?
 
Humu mi ni mgeni sana ila nlipatamani mda mrefu,hoja yangu ya kwanza ndo hii.inafahamika skendo ya richmond ilivomtese lowassa mpaka sasa ana2mia fund kujisafish ktk makanisa kisa magogoni,vp wenzangu mana mmeskia kuna hoja ya MNYIKA ktk bunge lililoanza kuhusu richmond,itamnusuru ama ndo ITAMMLIZA?
Mujuni, hilo ndio dodoki la uhakika na maji ni JIK iliyochanganywa na parazon. Baada ya hapo EL atang'ara kama theluji, mchana atamulika kama jua na usiku atangaa kama mwezi huku akimeremeta kama nyota!.
 
Mzee mbona msafi tu ila vita vya siasa ndugu yangu.El mtambo anawasumbua mbaya na wakubali wakatae ndo next president
 
Hoja ya Mh. Mnyika ni kufahamu kwa kiasi gani yale maazimio ya Bunge yametekelezwa.
Ni vizuri sana nami nimeipenda hiyo.
EL anatumia mipesa kibao kujisafisha,
Cha kushangaza ukimuuliza hizo pesa zote umetoa wapi, hana jibu!!!
 
Mzee mbona msafi tu ila vita vya siasa ndugu yangu.El mtambo anawasumbua mbaya na wakubali wakatae ndo next president

duh lowassa ana akina MILLYA KIBAO,ktk wanaompigania ambao hata kuzungumza hawawezi ama hata kueleweka ni James Millya.huwa namwona kama mwanasiasa KIBOGOYO coz Siasa ni MIC bbbwana
 
Suala la Richmond kurudi bungeni, naliona kwa mtazamo tofauti kidogo.

Kwanza imelenga kumsafisha EL, Kwasababu zipo tetesi kuwa toka awali mama Makinda aliposhawishiwa na kundi la EL kugombea uspika, nia ilikuwa ni kumpata mtu atakayeirudisha Richmond bungeni ili sitta , mwakiyembe na kundi lao waonekane walichemsha ktk kulitia taifa hasara, kuleta migogoro isiyoisha ndani ya chama na serikali n.k.

Pili nachelea kusema kuwa Mnyika katumwa!!, ama kwakujua au kwakutokujua. nitaeleza.

Ikiwa katumwa akiwa anajua. Hii huenda ni dhamira ya chama chake (chadema). Kuwa, kimemtuma apeleke hoja hiyo ya Richmond bungeni ili EL asafishwe ili chadema ijihakikishie ushindi 2015 endapo ccm itampitisha El, kwakuwa wamekuwa wakiamini kuwa nguvu ya El kwa Umama ni ndogo ukilinganisha na nguvu ya cdm.

Pia upo uwezekano wa mnyika kutumwa bila ya yeye (mnyika) kujijua kwamba katumwa. El ni mtu anayefanya siasa za kiwango cha juu sana, ana mtandao mpana sana vijana kwa wazee, ndani ya chama chake na ndani ya vyama vya ushindani (upinzani), hivyo ni rahisi hoja hii ya Richmond kufikishwa kwa mnyika kupitia kwa marafiki zake (mnyika) au hata yeye mwenyewe kwa namna moja au nyingine bila Mnyika kulitambua hilo.

Naamini hoja hii ya Richmond kurudishwa bungeni, haikosi mkono wa mafisadi. Naamini hoja hii ilifikishwa kwa Mnyika bila ya yeye kujua, akidhani hoja imeletwa na wazalendo wenzake. Lakini yote kheri coz it is just a political strategy for both political party!!.
 
lowasa vuvuzelas at work. jizi hilooooooo! tairi na petrol vinamhusu sana huyo jamaa yenu. sasa anajitahidi kuwarubuni maaskofu. swali, Je hayo mamilion kayatoa wapi?
 
Mujuni Majani soma aliyoyasema Senzota na kwa kuwa u mgeni japo Senzota kajaribu kuto ufafanuzi usichukue na kuamini yote kwa haraka vile vile mathali Senzota amekiri kuwa "anachelea" kusema kuwa Mnyika katumwa hivyo haamini ktk hilo ila mi niseme tu wazi Mnyika si mtu wa kutumika au kwa kujua ama kwa kutojua hivyo hili naomba tumwache na tumuombee afanikishe azma yake.

Lakini jingine alilozungumzia Senzota ni lile la Makinda kuwekwa ili kitimiza lengo la hao wanaoitwa Mafisadi kwa kuwa ushahidi juu ya hili sina ntakuwa siwatendei haki wale waliomchagua hali kadhalika hao anaowaongoza hivyo hili nall lichukue kwa tahadhari.

Nami niseme hivi ndugu Majani hiki swala la Richmond Watz wengi hatujalijua ndiyo maana hata wengine wamediri kusema kuwa JK alimpa Anne Semamba tuzo ili kutafuta symplathy ya Anne pale swala la Richmond litakavyorudishwa Bungeni, ila kubwa jua hili kama hilo swala likirudi Bungeni count EL a hero on this manake behind the scene baadhi ya wakubwa wanajua how cooky Richmond was na hili lilishadhihirika ktk kikao cha NEC ya CCM mwaka jana and Kikwete remained starended and wordless and he was ashamed if himself mpaka leo na kesho ametutendea dhambi Watz yeye pamoja na hao the so called wapambana ji wa ufisadi.........

So bro rest assured that EL temperature is and will always be normal or rather average if at all this matter will be presented by Hon Mnyika!
 
Mimi binafsi naamini na nitaendelea kuamini kuwa Lowassa si mhusika mkuu wa sakata la Richmond! Naamini na nitaendelea kuamini kuwa JK ndiye aliyepaswa kuwajibishwa katika hili sakata. Naombeni msinijibu, je Sitta na Mwakyembe hawakuwa na chuki binafsi na Lowassa kuhusu uwaziri mkuu?
 
Mimi binafsi naamini na nitaendelea kuamini kuwa Lowassa si mhusika mkuu wa sakata la Richmond! Naamini na nitaendelea kuamini kuwa JK ndiye aliyepaswa kuwajibishwa katika hili sakata. Naombeni msinijibu, je Sitta na Mwakyembe hawakuwa na chuki binafsi na Lowassa kuhusu uwaziri mkuu?

Japo umeomba usijibiwe ila utanisamehe kwa kukujibu manake najua wajua mengi ila ya 6 na Uwaziri Mkuu asiyejua kuwa 6 baada ya kukosa UPM aliomba apewe magari ya msafara na ulinzi kama wa PM na kujengewa ofisi kwao ya Spika nani asiyejua kuwa
EL alimtaka azunguke ktk Nchi zote za Common wealth na kama atakuta Spika mwenye mahitaji kama hayo anayoyataka 6 basi Serikali ingemtimizia haja yake baada ya kuona hayo kimbembe ndo kikaanza hapo kati ya hao wa2! Haya mambo bana tuache tu!

Nikuombe radhi kwa kukujibu MNYANYIZI hisia wakati mwingine ni tatizo
 
Hoja ya Richmond imeendelea kuzua mjadala katika Serikali na Bunge. Hoja ya kutaka mjadala huo kufunguliwa imetawala katika vikao vya kamati ya wabunge wa chama hicho pamoja na kamati ya uongozi wa bunge. Kila upande kati ya makundi mawili lile la makamanda wa ufisadi na la watuhumiwa wa ufisadi inazungumzia hoja hiyo huku Spika wa Bunge akikwepa katika mkutano wake na waandishi wa habari jana kuzungumzia kwa undani suala hilo. Hoja hii pamoja na suala la nyongeza ya posho, kurejeshwa kwa sheria ya mabadiliko ya katiba na utekelezaji wa maazimio ya bunge juu ya wizara ya nishati na madini zinatarajiwa kuleta mijadala mikali katika mkutano wa bunge unaoendelea.

PM
 
lowassa anatapa tapa tu,hii kitu haitamsaidia kama anavyodhani..sana sana atazidi kujivua nguo na makyembe anaonekana kuwa fiti sasa maana lengo lilikua asiwepo hoja itakaporudi bungeni!
 
Back
Top Bottom