Rich Dad Poor Dad by Robert Kiyosaki (Wapi ntapata hiki kitabu kwa Hapa Dar?)

Mkuu fikiria kununua iPad ukiwa na soft copy ya vitabu utafurahia afterall hamna kitu kinakosekana mtandaoni tena bure kabisa
Itabidi nifanye hivyo mkuu japo mwanga wa hizi electronics device hua unanisumbua sana macho nikisoma sana.
 
Hiki kitabu hawezi kukosa.

Ni kati ya vitabu ambavyo vipo kila mahali.

Yaani akienda sehemu yoyote kati ya aliyoelekezwa hapa hawezi kukikosa.
 
Back
Top Bottom